antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Walikuwepo mbona..Kipindi cha MH-JPM hatukusikiaga hizi mambo washaanza kuwachekea tena.
Panya Road wa Mbagala watiwa mbaroni | Mwananchi
www.mwananchi.co.tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuwepo mbona..Kipindi cha MH-JPM hatukusikiaga hizi mambo washaanza kuwachekea tena.
Wakina wa kimeru wenyewe kazi Yao hua Ni kukusanya mawe huku wanaume kazi Yao hua Ni kurusha hayo mawe.Waje Arusha hao.... Yaani ni kina mama tuu ndo watapambana nao wawatie adaby
Mimi ni kauzu ila kuna mahali unafika hatua unasanda.
Huyo jamaa uliyemweka kwny Avatar yako ndicho alichokifanya nchini kwake,kaua Sana kwa style hio mpk majambazi na vibaka somo likawaingia barabara.Hao Vijana wanapaswa kuuawa wote mmoja baada ya mwingine . Lakini pia ni wakati Sasa wa kuangalia maslahi ya Polisi na mambo wapewe hadhi Fulani kwenye mitaa ili kila mtaa uwe na walinzi wa kushirikiana na Polisi.
Ni hatari sana kuwa na jamii na serikali yenye Polisi na serikali inayoogopa Tishirt iliyoandikwa "Tunataka Katiba Mpya " na kuzisaka mpaka uvungu lakini inashundwa kujua vikundi vya kigaidi vinavyowanyima wananchi usingizi .
Serikali Sasa iache Polisi wafanye kazi yao ya ulinzi na usalama wa watu na Mali zao.
Haa haa ha labda waibe udaga[emoji3]Sasa huko Rorya panyaroad watakuwepo ili waibe nini? magunia ya unga wa dona au baiskeli za swala?
Hivi kuwacharaza risasi watu wa namna hii kuna shida gani? Why should the country keep unproductive group like this? Ondoa hasara kama hii, ubaki kuhudumia watu wa maana wanaolipa kodi na wawajibikaji kwa familia zao na Taifa kwa ujumla.Kwanza bei ya bastola sio kubwa sana maana mpaka ukiwa na laki saba au nane unapata.
Tatizo ni msahariti ya namna ya kuipata. Maana unaanzia ngazi ya mtaaa mpaka mkoa na mamlaka husika ili kuipata kuimiliki kihalali. Hii inakiwa kikwazo kwa wananchi kujilinda maana vibaka wanadhalilisha watu na kuibia mali..
Fukiria mtu anabakwa mbele ya mke wake au mke wake na watoto wanabakwa na kuibiwa mali na vijana wa miaka 12 mpaka 18 kisa tu ni wavuta bangi na walioshindikana ki malezi.
Wanaume wa Dar wasaidiwe.
Magufuri watu kama hawa alikuwa acheki nao, ndio hao walikuwa wanakutwa kwenye roba,watu kama hao wanarudisha maendeleo ya watu nyuma,hawafai kuishi,ukiingia ktk anga lao awachelewi kukumaliza.Hivi kuwacharaza risasi watu wa namna hii kuna shida gani? Why should the country keep unproductive group like this? Ondoa hasara kama hii, ubaki kuhudumia watu wa maana wanaolipa kodi na wawajibikaji kwa familia zao na Taifa kwa ujumla.
Mitaa mitatu yote kutekwa kwa wakati mmoja huko chanika,bila hata Panya mmoja kukamatwa au kujeruhiwa.
Hili jambo nashindwa kulielewa kabisa!
Nafikiria ingekuwa vipi kama hao Panya road wangejaribu huo ujinga huku mikoani.
Sijui kama wangekuwa hai mpaka saa hii!
Wanaume wa Dar es salaam jifunzeni ukakamavu maana ni jukumu la kila Baba kuilinda familia yake.
Laiti ungejua hawa wake zenu mliowaacha huku vijijini tunavyowafanya ungenyamaza tu.Huko mikoani kila siku mnauana vifo vingine vya aibu,ati baba nae anakuja kulala ulipo lala wewe na mke wako halafu kakumbatia
Mimi huwa nashangaa. Nchi inatakiwa kubembeleza watu waadilifu, walipa Kodi, wazalishaji na wazalendo kwa nchi yao lakini inapokuja suala la uhalifu ni lazima kudhibiti kwa namna namna yoyote ile ikiwa kuwafunga jela na mbinu zingine. Hakuna sababu ya kuendekeza uzembe wa namna hii.Magufuri watu kama hawa alikuwa acheki nao, ndio hao walikuwa wanakutwa kwenye roba,watu kama hao wanarudisha maendeleo ya watu nyuma,hawafai kuishi,ukiingia ktk anga lao awachelewi kukumaliza.
Eti haki za binadamu, wakati yeye akikuwahi anakuachia kifo au kirema cha maisha, wakati mwingine wanaharakati wanatupoteza.Mimi huwa nashangaa. Nchi inatakiwa kubembeleza watu waadilifu, walipa Kodi, wazalishaji na wazalendo kwa nchi yao lakini inapokuja suala la uhalifu ni lazima kudhibiti kwa namna namna yoyote ile ikiwa kuwafunga jela na mbinu zingine. Hakuna sababu ya kuendekeza uzembe wa namna hii.
Vitoto vinaamuaje kuteka mitaa na bado wanachekewa? How?
Watu wanashindia kiepe na pweza nguvu watoe wapi,vitoto vya miaka 18 vinawanyima raha wanalala uvunguniMitaa mitatu yote kutekwa kwa wakati mmoja huko chanika,bila hata Panya mmoja kukamatwa au kujeruhiwa.
Hili jambo nashindwa kulielewa kabisa!
Nafikiria ingekuwa vipi kama hao Panya road wangejaribu huo ujinga huku mikoani.
Sijui kama wangekuwa hai mpaka saa hii!
Wanaume wa Dar es salaam jifunzeni ukakamavu maana ni jukumu la kila Baba kuilinda familia yake.
Kitoto cha 18yrs kinawafanya walale uzunguni,dar kuna mamboAfu eti kiongozi wao anajiita Hunter....mfyuuu[emoji57]
Alafu ni watoto wa miaka 8-12 ndy wanawajambisha watu wazima eti!!
Waje huku Rorya wafanye Kama wanajaribu Tu km hawakujikuta wameaamkia Kwa MUNGU Baba
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
JPM alikuwa amewaweka kundi la Machinga kuwanyoosha wenye vihela vya mbogaHivi watz tuna kumbukumbu fupi hivi?
Hawa Panya road walisumbua sana kipindi cha jpm hadi kuna thread humu watu wanapeana taarifa wawahi nyumbani na kufunga maduka. Tena walikuwa wanaambizana kuwa wanaenda kwa kikosi kuanzia saa 12 jioni. Baada ya hapo kabla ya uchaguzi nadhani ndo wakathibitiwa.
Ndio Maana nilikuwa napenda Maamuzi ya Magufuli. Watu kama hao weka ndani akitoka na akarudia tena mpoteze tu.Hivi kuwacharaza risasi watu wa namna hii kuna shida gani? Why should the country keep unproductive group like this? Ondoa hasara kama hii, ubaki kuhudumia watu wa maana wanaolipa kodi na wawajibikaji kwa familia zao na Taifa kwa ujumla.