Wanaume wa Dar! Mitaa mitatu Mnatekwa na Panya Road?

Mimi ni kauzu ila kuna mahali unafika hatua unasanda.

Ujue watu wengi wanaposikia neno panya road picture inayowajia kichwani ni kwamba ni vitoto fulani hivi vina mapanga na dis pisi basi.

Lakini hawajui kuwa hawa watoto wanafadhiliwa na matajiri kwa kuwapa silaha za moto

Yani kiongozi wa kundi la panya road hakosi mguu wa kuku.

Wote sisi ni wamkoani tuko huku kimitikasi tu ila kufanya attempt ya kiboya kama hiyo kwa dhana ya kuogopwa kuitwa mwanaume wa dar itakuwa ni uboya zaidi.

Mimi Scars namheshimu sana mtu mwenye gun na natumaini ni hivyo hivyo hata kwako wewe unayesoma hii

Kama mapolisi zaidi ya 5 wenye mafunzo waliweza kumuogopa Hamza mmoja unanishawishije mimi Scars unarmed nijitusu kwenye bunch of rats afu wana gun pia?

Mimi nilishawahi koswa na risasi ule mlio uliopita karibu na mwili wangu mpaka leo bado unaishi masikioni mwangu

Tena nikiwa huko huko mkoani kwenye wanaume halisi, lakini uanaume wao ni kwenye mbio tu ndo naweza kuwa sifu

Mtu akishika bunduki na ukiwa una hakika kuwa sio toy, bro msikilize anasemaje na umpe ushirikiano

Paragraph ya pili kutoka mwisho izingatie sana
 
Huyo jamaa uliyemweka kwny Avatar yako ndicho alichokifanya nchini kwake,kaua Sana kwa style hio mpk majambazi na vibaka somo likawaingia barabara.
 
Hivi kuwacharaza risasi watu wa namna hii kuna shida gani? Why should the country keep unproductive group like this? Ondoa hasara kama hii, ubaki kuhudumia watu wa maana wanaolipa kodi na wawajibikaji kwa familia zao na Taifa kwa ujumla.
 
Magufuri watu kama hawa alikuwa acheki nao, ndio hao walikuwa wanakutwa kwenye roba,watu kama hao wanarudisha maendeleo ya watu nyuma,hawafai kuishi,ukiingia ktk anga lao awachelewi kukumaliza.
 
Ukweli uliosahaulika ! Kweli?
 
Huko mikoani kila siku mnauana vifo vingine vya aibu,ati baba nae anakuja kulala ulipo lala wewe na mke wako halafu kakumbatia
Laiti ungejua hawa wake zenu mliowaacha huku vijijini tunavyowafanya ungenyamaza tu.
 
Magufuri watu kama hawa alikuwa acheki nao, ndio hao walikuwa wanakutwa kwenye roba,watu kama hao wanarudisha maendeleo ya watu nyuma,hawafai kuishi,ukiingia ktk anga lao awachelewi kukumaliza.
Mimi huwa nashangaa. Nchi inatakiwa kubembeleza watu waadilifu, walipa Kodi, wazalishaji na wazalendo kwa nchi yao lakini inapokuja suala la uhalifu ni lazima kudhibiti kwa namna namna yoyote ile ikiwa kuwafunga jela na mbinu zingine. Hakuna sababu ya kuendekeza uzembe wa namna hii.

Vitoto vinaamuaje kuteka mitaa na bado wanachekewa? How?
 
Eti haki za binadamu, wakati yeye akikuwahi anakuachia kifo au kirema cha maisha, wakati mwingine wanaharakati wanatupoteza.
 
Watu wanashindia kiepe na pweza nguvu watoe wapi,vitoto vya miaka 18 vinawanyima raha wanalala uvunguni
 
JPM alikuwa amewaweka kundi la Machinga kuwanyoosha wenye vihela vya mboga
 
Hivi kuwacharaza risasi watu wa namna hii kuna shida gani? Why should the country keep unproductive group like this? Ondoa hasara kama hii, ubaki kuhudumia watu wa maana wanaolipa kodi na wawajibikaji kwa familia zao na Taifa kwa ujumla.
Ndio Maana nilikuwa napenda Maamuzi ya Magufuli. Watu kama hao weka ndani akitoka na akarudia tena mpoteze tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…