Atlast nimempata
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 585
- 1,166
- Thread starter
-
- #41
Ndo nawaambia hivyo! Tulikuwa tunanunua stock kubwa. Sasa hivi kwangu watoto hawapo wameishajitafuta na kujipata. Kiukweli mwanaume nunua stock at your own risk! Uwe na uhakika unafungua genge au duka mtaa wa pili. Wake wa siku hizi wanajijua wenyeweUnajua hata ile tabia ya mke kwenda dukani kila mara kununua rejareja haipendezi, mara unga kilo, mara mafuta kijiko kimoja, mara mchele nusu, ni aibu. Nyumba inatakiwa ijazwe stock ya kutosha kula kuanzia miezi miwili hadi mwaka mzima. Jaza mpaka friji madikodiko yajae huko, dukani safari zipungue.
Mkuu huyu shindikanaa na Atoto wanaushrika gani au ni mapacha walioungana.Tupo master binafsi mwanamke akishaingia kwenye cheni yangu sipendi apate shida vi laki sio pesa ya mtu kama mimi kukosa sema tu depression shindikanaa
Mambo yao waachie wenyewe
Rahaamama D kwa yesu kuna raha 🤗🤗
View: https://youtu.be/cvEN5svOfRc?si=-duy93DHXMJ4Etcv Lamomy wokovu unakuita Pumbavu . Asifiwè kristo 😅😅 Beira Boy kijana .
Mno hasa ukiwa kwa yesu😇Rahaa
Kama una Hela huna haja ya kununua matakataka yote hayo just order kwenye hotel at least 3star kila member wa familia na anachotakaUkiona unanunua sijui mchele kilo moja moja au unga na sukari,
Tafuta hela. Maisha yamekugonga.
Wadada weng na wenye Familia Wengi huwa na budget, kwahiyo Fungu likiingia tu basi cha kwanza ni kulipia Bill zote za kujikimu za Home, + Chakula .nk
Kwahiyo huo utaratibu weng tunaufuata.
Cc MahondawMambo yao waachie wenyewe
Niambie Mrs tajiri.Nilitaka nikuite mkuu nimeahirisha, aiseee.. we kasongo tafuta pesa.
Km mpk miaka hii unawaza mkeo kufungua genge kwa vitu ulivyonunua vya kula, wewe unahitaji kupambania no reforms, no election..!!
Tajiri yupi? Maana wako wengi 😹😹Niambie Mrs tajiri.
Yalinitokea haya nakutana na jilani kwenye korido ana little 1.5 mafuta ya kula kapimiwa na mke wangu.Wengine hugawa kwa marafiki zao wanawake jirani. Mwanaume unakuwa unahudumia familia mbili, tatu, mke anatapanya stock kama hana akili nzuri
kuna 1 walikuwa wafugaji mume akinunua majani ya ng'ombe yeye kazi kugawa kwa marafiki, ng'ombe anawalisha kiduchu mengi anagawa, ng'ombe wakawa wanakondeana tu..mume kuja kugundua mbona alimtimua mwaka kwao, mbona alipauka kama anapaka jivu na wale shoga zake wakawa wanamchekaWengine hugawa kwa marafiki zao wanawake jirani. Mwanaume unakuwa unahudumia familia mbili, tatu, mke anatapanya stock kama hana akili nzuri
Tajiri Lamomy my honey.Tajiri yupi? Maana wako wengi 😹😹
Tajiri mpole Tajiri la Bitcoin Tajiri la Kikinga Tajiri mkopeshaji Tajiri mkuu TAJIRI MSOMI Tajiri Mohamed Tajiri Mtoto Tajiri Sina BAYA Tajiri Kichwa Tajiri bonge rich 10
secretarybird amekosea wewe unafata nyayo za Tajiri Sina BAYATajiri yupi? Maana wako wengi 😹😹
Tajiri mpole Tajiri la Bitcoin Tajiri la Kikinga Tajiri mkopeshaji Tajiri mkuu TAJIRI MSOMI Tajiri Mohamed Tajiri Mtoto Tajiri Sina BAYA Tajiri Kichwa Tajiri bonge rich 10
Kuna nini huku mkuu! ngoja nisome.secretarybird amekosea wewe unafata nyayo za Tajiri Sina BAYA