Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Amesema ni Tajiri yupi?Tajiri yupi? Maana wako wengi πΉπΉ
Tajiri mpole Tajiri la Bitcoin Tajiri la Kikinga Tajiri mkopeshaji Tajiri mkuu TAJIRI MSOMI Tajiri Mohamed Tajiri Mtoto Tajiri Sina BAYA Tajiri Kichwa Tajiri bonge rich 10
"Hauna baya zaidi ya baya la hanifa tajir"πKuna nini huku mkuu! ngoja nisome.
kama nina baya semeni...
Mkuu kwa Hanifa nina baya gani tena?"Hauna baya zaidi ya baya la hanifa tajir"π
Kuna siku nilinuua vitunguu kilo 3, mafuta ya alizet lit 3. Kuna manzi moja ikaja hom, ikaingia kupika jikoni, keaho yake anataka kusepa nikamuona kabeba vitunguu kadhaa huku anajiuma uma akiniomba amimine mafuta hata nusu lita. Hapo nishajipigia hesabu ya karibu miezi miwili ijayo sitohangaika na hivyo vitu gengeni, nikamwambia achukue vyote nikamuongezea na kibunda cha viberiti kile cha jero, alinishukuru mno!
π€£π€£Hahaha π, Tajiri Sina BAYA ana pesa nyingi sana.secretarybird amekosea wewe unafata nyayo za Tajiri Sina BAYA
Ishi nao kwa akiliWengine hugawa kwa marafiki zao wanawake jirani. Mwanaume unakuwa unahudumia familia mbili, tatu, mke anatapanya stock kama hana akili nzuri
Mno mkuu.Hahaha π, Tajiri Sina BAYA ana pesa nyingi sana.
Ukiweka huo Uzi PM yako ita BurstMno mkuu.
Kuna mpango nausuka ili niwe najenga mitambo ya kiotomatikali ya kusambaza pesa zangu kwa watu wenye njaa.
Yaani iwe watu wanafungulia pesa kama wanavyo fungua maji tu kwenye mabomba.
Nikiukamilisha huu mpango nitaweka uzi humu jf wa kuomba majina ya watu watakaontaka kuingia katika majaribio.
Nikigundua huyu rafiki yake atakuwa mke mwenza wake....Wengine hugawa kwa marafiki zao wanawake jirani. Mwanaume unakuwa unahudumia familia mbili, tatu, mke anatapanya stock kama hana akili nzuri
πππππ ila nitaweka mkuu haitakuwa shida sana, kosa litakuwa ni la muweza ambae ameweka pesa nyingi kwa mtu mwenye roho nzuri.Ukiweka huo Uzi PM yako ita Burst
Wala huna baya tajiri.Mno mkuu.
Kuna mpango nausuka ili niwe najenga mitambo ya kiotomatikali ya kusambaza pesa zangu kwa watu wenye njaa.
Yaani iwe watu wanafungulia pesa kama wanavyo fungua maji tu kwenye mabomba.
Nikiukamilisha huu mpango nitaweka uzi humu jf wa kuomba majina ya watu watakaotaka kuingia katika majaribio.
kama nina baya semeni...
Kiufupi tunasema hela zimeenda sehemu sahihi....ila serikali ikikaa na wewe vizuri unaweza kusaidia kulipa deni la taifaπππππ ila nitaweka mkuu haitakuwa shida sana, kosa litakuwa ni la muweza ambae ameweka pesa nyingi kwa mtu mwenye roho nzuri.
πππππKiufupi tunasema hela zimeenda sehemu sahihi....ila serikali ikikaa na wewe vizuri unaweza kusaidia kulipa deni la taifa
πππ πWala huna baya tajiri.
Nimekuelewa wewe unataka kusaidia kunyanyua maskini na kupunguza umaskiniπππππ
Ah Silikali haina tumbo, mimi nadili na watu wa chini ambao wana shikwa na njaa na wana dhiki.
Hao wanawake mnawatoaga wapi wa kugawa ovyo jasho la mumewe au kuuza ili apate pesa? Mh aiseeKabisa kuna wanawake vilaza ambao hawajelew kabisa mkuu
Mme anahastle kuweka stock ya chakulq na mahitaji ya muhimu ili familia isipate shida na watoto Ila yeye anagawa vitu hovyo kwa mashoga zake hadi vinaisha
Unabaki kujiuliz vimeishaje na yeye Hana habari tena anajikausha Kama hajui alichokifanya