Na hapo bado unataka kumuweka ndani, bora anayeomba pesa kuliko huyo wa kuomba mafuta na vitunguu mafuta yenyewe ulinunua lita 3,Kuna siku nilinuua vitunguu kilo 3, mafuta ya alizet lit 3. Kuna manzi moja ikaja hom, ikaingia kupika jikoni, keaho yake anataka kusepa nikamuona kabeba vitunguu kadhaa huku anajiuma uma akiniomba amimine mafuta hata nusu lita. Hapo nishajipigia hesabu ya karibu miezi miwili ijayo sitohangaika na hivyo vitu gengeni, nikamwambia achukue vyote nikamuongezea na kibunda cha viberiti kile cha jero, alinishukuru mno!
Na hiyo sio kwamba sikumpa uchakavu wake! Nikasema tu isiwe tabuNa hapo bado unataka kumuweka ndani, bora anayeomba pesa kuliko huyo wa kuomba mafuta na vitunguu mafuta yenyewe ulinunua lita 3,
Huyo ukioa utaona rangi zote, ila malezi yanachangia mi ninakotokea hamna hizi tabia, ila nilikokulia niliziona sana, tena na kuzidi hapo, ila hazipendezi kabisaNa hiyo sio kwamba sikumpa uchakavu wake! Nikasema tu isiwe tabu
Kwa mawazo haya mkuu labda ujiunge na team kataa ndoa, ukitaka kuwa real family man ni lazima ufanye hayo.Sasa jifanye unanunua vyote hivyo ndo utakuwa mwanzo wa kuua familia maana wanawake wa siku hizi Ukifanya hivyo huyo mama ataenda mtaa wa mbali na kufungua genge au duka na kupiga nusu ya kila kitu na kuanza biashara! Ziko familia nyingi zimeshindwa kuvuka baada ya mume kugundua 😣
No mkuu usinitag, watu wakiona jina langu watapata matumaini ya moja kwa moja lakini pengine muda huo nitakuwa nje ya nchi ambapo huwa ninakuwa bize sana na kwa usalama wangu huwa sifanyi miamala ya fedha nikiwa huko.Nimekuelewa wewe unataka kusaidia kunyanyua maskini na kupunguza umaskini
Zikija nyuzi za kuomba mtaji au hela ya chakula nitakuwa nakutag tajiri
😂Kweli tajiri huna baya 🙌🙌🤣No mkuu usinitag, watu wakiona jina langu watapata matumaini ya moja kwa moja lakini pengine muda huo nitakuwa nje ya nchi ambapo huwa ninakuwa bize sana na kwa usalama wangu huwa sifanyi miamala ya fedha nikiwa huko.
😁😆 Sana mkuu.😂Kweli tajiri huna baya 🙌🙌🤣
Hakika hujambo mpenzi msikilizaji wa TBC TAIFA,mama D kwa yesu kuna raha 🤗🤗
View: https://youtu.be/cvEN5svOfRc?si=-duy93DHXMJ4Etcv Lamomy wokovu unakuita Pumbavu . Asifiwè kristo 😅😅 Beira Boy kijana .
Hahaha 😂🤣.Hakika hujambo mpenzi msikilizaji wa TBC TAIFA,
Tunajiunga na idhaa ya KBC Nairobi Kenya, Kwa ajili ya mahubiri kutoka kwa mtumishi wa Mungu Pastor Pius Mwiru,
Studio namba mbili ni mtangazaji wa zamu secretarybird ,
Tunaekewa kibao Cha Lulu,
Shindikanaaa fanya namna basi, yaani nakosa hadi bando la kuingia humu na wewe upo😭😭😭😭Tupo master binafsi mwanamke akishaingia kwenye cheni yangu sipendi apate shida vi laki sio pesa ya mtu kama mimi kukosa sema tu depression shindikanaa
Shindikanaa wewe hauwezi kosa pesa 😁 hata hili najua unatania tu🤣🤣🤣🙂Shindikanaaa fanya namna basi, yaani nakosa hadi bando la kuingia humu na wewe upo😭😭😭😭
Shindikanaa kwakweli nimelia sana😭Shindikanaa wewe hauwezi kosa pesa 😁 hata hili najua unatania tu🤣🤣🤣🙂
Sio kweli shindikanaa 🤫 kwani nyumbani hauna WiFi Google fiber? Mbona matajiri wa jf tunayo kitambo😛😛Shindikanaa kwakweli nimelia sana😭
Wewe sio wa kuniambia hivi!
Mkuuu koma kabisa ni mimi nimeruhusiwa hili jina shindikanaa Na sio kila mtu malabuku wewe😏
Ni kama atoto na Shindikanaa ni binadamu mmoja hivi.Mkuuu kama kabisa ni mimi nimeruhusiwa hili jina shindikanaa Na sio kila mtu malabuku wewe😏
Achana na shindikanaa bwashee utaja kufa kwa risasi vibaya sanaNi kama atoto na Shindikanaa ni binadamu mmoja hivi.
Hii Ina confuse.
Usimruhusu apige story na akina Lamomy Binti Sayuni03 na Mshangazi dot com maana wakimweleza habari yangu anaweza kukutosa na kuja kunikimbilia ili naye a-enjoy mautamu ambayo mimi hugawa.Achana na shindikanaa bwashee utaja kufa kwa risasi vibaya sana