National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
nimesilimu naitwa HakimiEti eh wewe muislam tokea nini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimesilimu naitwa HakimiEti eh wewe muislam tokea nini??
Wachaa kizee hicho na mambo yakenimesilimu naitwa Hakimi
Achraf Hakimi, jina limenipendeza eeeh 😅😅.. uje masjidi kwetu usilimu uanze madrasa.. uwe mke wa nneWachaa kizee hicho na mambo yake
Aisee hapanaAchraf Hakimi, jina limenipendeza eeeh 😅😅.. uje masjidi kwetu usilimu uanze madrasa.. uwe mke wa nne
😅😅 buwe peke yako wengine talaka tatu na mateke juuu.. Dini ya kiislamu kwenye taswila ya ndoa ni tofauti sana na wakristo.. mwanamke anavyotazwa katika uislam tofauti ukristo..Aisee hapana
Nipo single tangu tumboni , mpka kaburini iweje nishindwe apa😁😁Sijui aisee labda mzimu
Wapi kwa nani??Nipo single tangu tumboni , mpka kaburini iweje nishindwe apa😁😁
We jamaa akili yako ni ya mashaka mashakaSibishani na majahili kuna kuuliza ili kujua na kuna kuuliza ili kukebehi.Sijipendekezi kwa majahili.
Wewe punda wa nyuma kapigwa wewe punda wa mbele kinachokuliza lini?Umendandia hata hujui kilichoulizwa na kiliulizwa kwanini?Jaribu kuja na hizo kebehi utajibiwa. Nguruwe wahed.Bila shaka unanuka makalio ndomana akili zimekuruka ,mtu kauliza kistaarabu alafu wew unapaniki ,Sasa angeleta kebehi kusema wavaa makobazi mbona hamvaagi Pete si ungejilipua kbsa na bomu
Hujui hata kinachoendelea na ni kawaida kichaa kuona wengine wana akili za mashaka.We jamaa akili yako ni ya mashaka mashaka
Wapi kwa
Achana na mimi🤣🤣🤣🤣Wapi kwa nani??
Kauliza swali hakutaka matusi umetokea buza niniWewe mjinga nani alikuambia wanaume wa kiislamu wanavaa Pete kuashiria kwamba wameoa?Ujahili ni wa kiwango cha juu sana kwenye hii Forum.
Andika tusi lililoandikwa hapo. Ukimuita mtu mwenye jicho moja chongo umemtukana.?Kutokea Buza ndio ndio inaonyesha nini?Wewe ni bora kuliko hao wa Buza?Au kujikweza tu kwenye keyboard?Kauliza swali hakutaka matusi umetokea buza nini
Kwanani???Achana na mimi🤣🤣🤣🤣
Tabia ya mtu uakisi mazingira aliyeelimika ujibu hoja Sio tusiAndika tusi lililoandikwa hapo. Ukimuita mtu mwenye jicho moja chongo umemtukana.?Kutokea Buza ndio ndio inaonyesha nini?Wewe ni bora kuliko hao wa Buza?Au kujikweza tu kwenye keyboard?
[emoji1787][emoji1787]nimesilimu naitwa Hakimi
[emoji1787][emoji1787]Nipo single tangu tumboni , mpka kaburini iweje nishindwe apa[emoji16][emoji16]