Wanaume wa kiislam hii inawahusuu

Wanaume wa kiislam hii inawahusuu

Wewe mjinga nani alikuambia wanaume wa kiislamu wanavaa Pete kuashiria kwamba wameoa?Ujahili ni wa kiwango cha juu sana kwenye hii Forum.
Hapo unajiona mwamba umepigania dini ya mnyazi mungu 🙂 🙂 🙂
 
Wewe mjinga nani alikuambia wanaume wa kiislamu wanavaa Pete kuashiria kwamba wameoa?Ujahili ni wa kiwango cha juu sana kwenye hii Forum.
Tumia kujibu kwa hekma ndugu yangu kwenye imani.
 
Mwanaume unajibu kiumbeya na kiunafiki inaonyesha kuwa ile engine nayo niovyoo, seckta ya juu ni hovyoo kirekebishe maana kwanza watu kama wewe waarabu hawawaachi salama
Naona umechanganya madesa. Rudi juu kwenye post zangu unionyeshe hapo nilipojibu vibaya kiasi cha kunituhumu hayo uyasemayo.
Naona kabisa uliyemdhamilia kumjibu haya wala siyo mimi. Hakuna pahala nimekutukana na wala kukujibu mambo ya hovyo..!!

Pamoja na hayo, una uhuru wako wa kudhani chochote juu ya wengine, LAKINI SIYO KWA KUSINGIZIA.
 
Bado endelea tu kunijibu
 
Back
Top Bottom