mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,379
- 1,276
Kuvaa pete za ndoa sio hulka na tabia za kiislamu. Hakuna popte katika sheria za kiislamu ya kuwa wanandoa wavae pete.Nina swali jaman et wanaume wa kiislamu wanafunga ndoa na wanawake wanne kwaiyo anavaa Pete zote nne au kila akioa nyingine anatoa???
FaizaFoxy
Labda nikushauri nawe kuwa hebu uliza ni kwa nini wakristo wanavalishana pete wakati wa kufunga ndoa zao?