mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,379
- 1,276
Kuvaa pete za ndoa sio hulka na tabia za kiislamu. Hakuna popte katika sheria za kiislamu ya kuwa wanandoa wavae pete.Nina swali jaman et wanaume wa kiislamu wanafunga ndoa na wanawake wanne kwaiyo anavaa Pete zote nne au kila akioa nyingine anatoa???
FaizaFoxy
Kudhiirisha wewe umeolewa au umeoaKuvaa pete za ndoa sio hulka na tabia za kiislamu. Hakuna popte katika sheria za kiislamu ya kuwa wanandoa wavae pete.
Labda nikushauri nawe kuwa hebu uliza ni kwa nini wakristo wanavalishana pete wakati wa kufunga ndoa zao?
Are you serious ?!!Mwanaume unajibu kiumbeya na kiunafiki inaonyesha kuwa ile engine nayo niovyoo, seckta ya juu ni hovyoo kirekebishe maana kwanza watu kama wewe waarabu hawawaachi salama
[emoji2956]Naona umechanganya madesa. Rudi juu kwenye post zangu unionyeshe hapo nilipojibu vibaya kiasi cha kunituhumu hayo uyasemayo.
Naona kabisa uliyemdhamilia kumjibu haya wala siyo mimi. Hakuna pahala nimekutukana na wala kukujibu mambo ya hovyo..!!
Pamoja na hayo, una uhuru wako wa kudhani chochote juu ya wengine, LAKINI SIYO KWA KUSINGIZIA.
Duh [emoji15][emoji1787]Bado endelea tu kunijibu
Thank you Mkunazi Njiwa . Maana mimi mwenyewe sijamuelewa kabisa, nikaamua nipige kimya..!!Are you serious ?!!
Mbona huyo mwamba ndiye anayekutetea kwa ujinga alioufanya aliyekukebehi...
Hivi unatulia wakati wa kusoma maandiko ya wengine ?!!! [emoji15]
Katika Uislamu, Sheria na Taratbu zake zote pete Haina uhusiano na mambo ya Ndoa wala uchumba, Lizingatie hiloNina swali jaman et wanaume wa kiislamu wanafunga ndoa na wanawake wanne kwaiyo anavaa Pete zote nne au kila akioa nyingine anatoa???
FaizaFoxy
We kunguni mtu asiulize swali?Wewe mjinga nani alikuambia wanaume wa kiislamu wanavaa Pete kuashiria kwamba wameoa?Ujahili ni wa kiwango cha juu sana kwenye hii Forum.
Ni kweli kabisa, ila katika Ukristo...kuna mistari katika Biblia (mpaka niitafute) inasema Mungu hueshimu mapatano/makubaliano so endapo Binadamu wamekutana na kukubaliana katika jambo jema basi Mungu anabariki au Ana approveSwali zuri dada lakini utaratibu wa kuvalishana Pete za ndoa sio katika utaratibu wa dini ya kiislamu hauhusiani hata kidogo nahisi ni utamaduni wa wazungu sidhani hata kwenye biblia ukristo unaelekeza hivyo
Sheikh usishangae, ndio Waislam wa hapa JF walivyoDuuh kwanini unaanza na tusi na mtu kauliza swali Kwa ustaarabu ili afahamu ??
Kwhy wanaume wanavaa kama urembo tu sio?Uislam hauna taratibu za kuvaa Pete za ndoa.
isipokua inaruhusiwa mwanaume kuvaa Pete ya silver kabla au baada ya ndoa na haiitwi Pete ya ndoa inavaliwa tu kama inavyovaliwa saa.
kwahiyo hakuna utaratibu wa kuvalishana Pete kwenye ndoa katika uislam.
Ni kwa vipi Pete ni Ushirikina?Mambo ya pete kwetu hayapo.Pete haina upendo,haitii uja uzito wala haizalishi mtoto.Pete ni wewe mwenyewe.Ni 'show off' tu na kujisifu kuwa umeoa au umeolewa.Isitoshe pete ni ushirikina tu.Hatuabudu pete katika ndoa.Moyo na mapenzi ya dhati ndiyo pete.
Kunguni mama yako.Muulize vizuri.Nguruwe mwitu.We kunguni mtu asiulize swali?
AsanteeWe kunguni mtu asiulize swali?
Anavaa kila kidole si unaonaga midole yote inakuwaga na pete tena yenye madoti mara mekundimu mara blue mara kijani mara orange [emoji1787][emoji1787]Nina swali jaman et wanaume wa kiislamu wanafunga ndoa na wanawake wanne kwaiyo anavaa Pete zote nne au kila akioa nyingine anatoa???
FaizaFoxy
Usimwite mjinga mueleweshe sio wote humu wanajua kila kitu.hata wewe kunaupande wa vitu vile vike hujui.Wewe mjinga nani alikuambia wanaume wa kiislamu wanavaa Pete kuashiria kwamba wameoa?Ujahili ni wa kiwango cha juu sana kwenye hii Forum.
Kumbe hawa tunaowana wamevaa kumbe mbwe mbwe hazina maana yoyote ?Hakuna utamaduni wa kuvaa Pete kwa ajili ya ndoa kwa Waislam, si mwanamme si mwanamke, haziwahusu.
Huo ni utamaduni wa Kimagharibi.
Uko sahihiHakuna utamaduni wa kuvaa Pete kwa ajili ya ndoa kwa Waislam, si mwanamme si mwanamke, haziwahusu.
Huo ni utamaduni wa Kimagharibi.
Mengine sasa unakosea .kusema kwenye uislamu haipo ingetoshaMambo ya pete kwetu hayapo.Pete haina upendo,haitii uja uzito wala haizalishi mtoto.Pete ni wewe mwenyewe.Ni 'show off' tu na kujisifu kuwa umeoa au umeolewa.Isitoshe pete ni ushirikina tu.Hatuabudu pete katika ndoa.Moyo na mapenzi ya dhati ndiyo pete.
Hakuna pete ya ndoa wala harusi kwenye Uislam. Ni utamaduni ambao siyo wa Kiislam.Kumbe hawa tunaowana wamevaa kumbe mbwe mbwe hazina maana yoyote ?