nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
[emoji3][emoji24][emoji1787] mkuu umeua kabisa Mimi moja yasababu yakumuoa wife ni koo inayojiweza Kwa kifupi wanamali haswa, yaani MTU unapambana ukipata mtihani kidogo wa kifedha hata wakukusaidia Huna na uathirike mjini SASA Sjui Hilo tako na Sura yamke sijui litaisaidia NN maisha kupanda na kushuka SASA yakishuka atleat unapakuanzia.Nimesha copy link ya Uzi nitaitolea hard copy soon
Yaani umemaliza kila kitu.
Sura inazeeka
Tako linaisha
Titi soon linalalo yoo
Sasa ukioa kwa physical appearance utaenda kuisaidia Ukraine kulia soon

Stress mbaya. Kunywa Double KickKama umeoa mwanamke Kwa Sababu sijui unampenda Sana, au anakupenda Sana au ni mzuri Sana blah blah blah , wewe ni kichaa. U will be dis appointed big time.
Don't marry for love but marry for your personal interests which have nothing to do with love.
Kama ukioa for ur personal interests basi hata single mother mwenye watoto watano Kila mmoja Na baba ake unaweza kumuoa as long as ur union with her will guarantee ur personal interests.
Mwanamke haolewi Kwa Sababu ya kuwa Na mapenzi kwake. Mwanamke anaolewa Kwa Sababu ambayo haihusiani Na mapenzi kabisa.
Asilimia kubwa ya wanaume wanao lalamika kutendwa Na wake zao , waliwaoa wanawake Hao Kwa Sababu za kitoto kama tajwa hapo juu..
Wanaume wanao waua wake zao Kwa wivu wa kimapenzi nk waliwao wanawake Hao Kwa Sababu waliwapenda Sana ..
MWANAMKE ANAPASWA KUOLEWA KWA MOJAWAPO KATI YA SABABU ZIFUATAZO
Sababu zipo nyingi Sana nyingine utajaziliza mwenyewe.
1. UNAMUOA KWA SABABU UNATAKA MAKARATASI: Wewe ndio huyo upo zako Marekani, ndoto yako ni kuwa na uraia WA Marekani , njia rahisi ya wewe kutimiza ndoto zako ni kuoa mwanamke raia WA Marekani. So unaoa mwanamke wa kimarekani sio Kwa Sababu unampenda ila Kwa Sababu unataka kupata uraia wa Marekani. Hapo Sasa wewe ndio umeoa
2. WA KUKUTOLEA DHAMANA POLISI AU MAHAKAMANI
kwenu Songea umekuja dar kutafuta Maisha huna shughuli rasmi Wala huna ndugu dar, Na Kwa nature ya Kazi zako unaweza kuwa mikononi mwa vyombo vya dola at any given time so unaoa mwanamke ambae atakuwa anakuja kukutolea dhamana polisi au MAHAKAMANI in case umepata tatizo..
Huyo mwanamke utakae muoa atapaswa kuwa mkaazi wa dsm mwenye extended family yake ndani ya dsm. Ukiwa katika kundi hili Na ukawa umeoa mwanamke WA Aina hii bila Shaka utamuheshimu Sana and u can forgive even adultery Kwa Sababu wewe unacho kitaka ni MTU wa kuwa anakusaidia ku organise bail unapokuwa matatani.
Na hapo namzungumzia kijana anae fanya kazi halali kabisa ingawa sio rasmi kama vile umachinga, ufundi n.k . Ama Kwa kijana anae fanya shughuli za mission town basi ikiwezekana amtafute hata shemeji yake Na IGP
3. KWA SABABU UNATAKA MBEGU YAKE: Mfano wewe ni mfupi , unataka kupata watoto warefu , basi nenda pale South Sudan tafuta binti mrefu oa au unataka kuwa na watoto chotara basi unaoa mzungu au mwarabu.
4. WA KUKUHUDUMIA MARADHI AU UZEE : Kama alivyo fanya Mzee Mrema au Mfalme Daud ( 1 wafalme 1:4)
5. KWA SABABU UNATAKA WATOTO FULL STOP
Mwanamke ni shamba linalo tembea. Tofauti Kati ya mwanamke na shamba la babu yako analotumia kulima mbilimbi huko kijijini kwenu Isungachupi ni kwamba Hilo Shamba la babu yako halijijui kama lina exist lakini mwanamke yeye yupo conscious kwamba ana exist.
Wewe Ni mkulima mwenye jembe ( dushe) Ili uitwe mkulima bora ni lazima upate mazao Tena yaliyo Bora . So unahitaji kupata shamba Zuri lililo Na rutuba upande mbegu zako ziwe incubated for 9 months Kisha upewe zao au mazao yako.
So unapoenda kuchagua Shamba Kwa ajili ya Kupanda mbegu zako unatakiwa kuzingatia kanuni ya UDONGO NA MBEGU kanuni ya UDONGO NA MBEGU inasema kwamba ili upate mazao Bora Ni lazima upande mbegu zako kwenye ardhi nzuri.
Ukipanda mbegu zako kwenye shamba lenye ardhi nzuri utapata mazao Bora Kwa Sababu mbegu zako zitakuwa favoured Na ubora wa udongo lakini ukipanda mbegu zako kwenye udongo mbaya basi utapata mazao mabaya au hutopata mazao kabisa..
So ninacho kihitaji kutoka kwake sio heshima Wala mapenzi. Ninacho kitaka kutoka kwake ni watoto. Mkulima sihitaji shamba langu linipende Wala liniheshimu . Ninacho hitaji ni mazao Tu. Heshima akimuheshimu baba Ake inatosha. Kupenda akimpenda mama ake inatosha pia.
The only real thing that u can get back from ur woman is ur children. Other things are nothing but fake and fake only.
Sababu nyingi mno nyingine unaweza kuongezea wewe mwenyewe..
Kikubwa usioe Kwa Sababu eti umempenda mwanamke huyo
Oa Kwa Sababu tofauti na kupenda/mapenzi . Wewe ndio utakuwa umeoa Kwa Sababu ambazo ni sahihi.
Hata wanawake huwa hawaji kwenye ndoa Kwa Sababu eti anakupenda. Noope huja Kwa Sababu tofauti kabisa ambazo hazihusiani na mapenzi kama vile kufuata Mali, urahisi WA Maisha, watoto wake kusoma n.k( Joyce Kiria anasema alikubali kuolewa Na DJ Nelly Kwa Sababu hakuwaga na Kodi ya nyumba so aliamua kuolewa ili akae sehemu bila kulipa kodi
View attachment 2163737
View attachment 2163787
Tako linaishaUnachosahau ni kwamba, huyo mke unayeoa kisa tu unataka watoto, na hakusisimui kihivyo na hivyo hamuoneshi mahaba ya hali ya juu, kuna siku atakutana na jamaa wakapendana halafu huyo jamaa atamuonesha mapenzi yale we una yaona ujinga, hapo huyohuyo mke atakukimbia uzeeke peke yako
Ndio utajua hujui [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndoa bila mapenz ni sawa na hamna
Kupenda ni Nini? Na kwanini unampenda mtu?Hii posti eidha imepostiwa na mtu hajawahi kupenda ama la, basi kajikatia tamaa kwenye suala zima la mapenzi
Hivi mtoa posti unajua kitu kinaitwa 'kumpenda mtu'?? Ni kitu kizito sana
Huyo mrema mnasema kaoa ili atunzwe mnasahau kuwa alioa kipindi yuko kijana na akaishi na mkewe wa mwanzo kwa miongo kadhaa. Hivyo hii anaona mara ya pili ni dharura, ila enzi za ujana wake alioa kwasababu za kawaida tu za kupenda
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji1][emoji28]jamani kaaahhh!!!eti watoto wazuri haya wangetoka na sura z baba yao copyright!!![emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Japo umeandika kiwepesi na mzaha ila kuna pahala umegusa uhalisia,, mimi kuna mwanaume aliniambia kabisa sababu kuu ya kutaka kuoa anahitaji mwanamke wa kumzalia watoto wazuri,, maana sura yake anaona iko 'personal', vigezo vingine vipo ila hasa alitaka watoto wazuri na alitaka mwanamke mwenye watoto/ mtoto ili aone mfano wa uzao wake utakavyokuwa,, kwahiyo bhana kuna wanaume wana maamuzi na hesabu zao kali,
BarikiwaMshua alnmbia kipindi anataka kuoa nyumban kwao kulkua amna elimu ikbd atafte mwanmke ambae kwao kuna elimu akmpta bmkubwa kwao wmesoma now
1. Ist born me Engineer
2.second mhasibu
3.thrd Dr
Kwaio Kuna ukweli kwenye Hilo [emoji120][emoji120]
Nakazia hapa ngoja wao wakoMae kuwa wameoa kisa Wana ashki Sana na wao.Itawachukua Mda watu kukuelewa mkuu,napengine itachukua Mda Ila mada yako nifikirishi Sana nainauhalisia Sana Sana,trust me
wanaokupinga hawanajustifications za maana,yaani nihivi umegonga kwenye point mwanaume kumuoa mwanamke Kwa kigezo cha mahaba namapenzi only,nasio vitu vingine nje yamaswala Yangono nihatari nahuishi ktk pressure namgandamizo wamawazo
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Unajua alipambana vipi na nafsi yake kuishi hivyo,Kama mkapa vile alioa ili alate urais
Mpenzi wako yupo na mpenzi wake Weekend wana Enjoy. Wewe Pumzika uwahi Jumuiya kesho mapema!Unachosahau ni kwamba, huyo mke unayeoa kisa tu unataka watoto, na hakusisimui kihivyo na hivyo hamuoneshi mahaba ya hali ya juu, kuna siku atakutana na jamaa wakapendana halafu huyo jamaa atamuonesha mapenzi yale we una yaona ujinga, hapo huyohuyo mke atakukimbia uzeeke peke yako
Ndio utajua hujui [emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nilioa wake zangu ili wawe wananibebea ungaKama umeoa mwanamke Kwa Sababu sijui unampenda Sana, au anakupenda Sana au ni mzuri Sana blah blah blah , wewe ni kichaa. U will be dis appointed big time.