Wanaume wanaoijua hii Baiolojia ya wanawake ni wachache sana

Maswali mazuri kabisa.
 
Mkuu nimekusoma kwa kutulia kabisa nikakuelewa.
Kama unaamini mabibi zetu hawakuwa wakipelekeshwa na hormones its fine by me
 
Reactions: Tsh
Maswali yangu ni kama yako tu, so sitoyaandika. Nitapata majibu hapa akikujibu/wakikujibu
 
Wewe nipe mbinu za kuokoa pesa mzee, yaani kabisaa napambana eti kuokoa ndoa..
Toto limelelewa na wazazi wake huko kiaina afu mimi nipewe kazi khaa
Naongelea hormones sio malezi.
Huwezi ku secure pesa kama huna amani kwenye mahusiano yako mkuu.
 
Nilikuwa sijasoma ila sasa nimesoma nawachukia Sana wamama wenye MIMBA ni kisirani tupu kwahiyo mtoa mada kipindi mpo period mnatushauri tufanyeje.Tupe jibu......

a Tuwapuuze

b Tuwanyenyekee

c Tukubali hata msipotutii na kutuheshimu

d Tuwaamshie popo
 
Ila ajabu mwanaume ukiwa na fedha ya kutosha hormones za Ke hazileti shida😁

Je, wewe unayejua haya, huwa unaweza kujidhibiti kipindi cha hiyo changamoto ili usivuke mipaka?
Maybe inafaa hii elimu itolewe kwa Ke iwasaidie.
 
Shida ni kwamba wanawake wote wamewekwa kundi moja na huyu.
Hata hivyo hata huyu kabla ya kuhumikiwa je status ya afya yake ya akili inajulikana
Sifahamu, ila kuna binadamu (Mwanamke), ni makasiriko siku zake zote...
 
Hongera sana Mama kwa elimu nzuri.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Swali zuri sana.
 
Hedhi ni chakula cha majini kipindi hicho huwa majini hayakai mbali
 
Inatakiwa uongozwe na akili na ukiongozwa na homoni usilalamike kuachwa
 
ISHI NAO KWA AKILI..Do you remember?
Mungu aliwekeza akili nyingi kwa mwanaume.Zitumie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…