Wanaume wanaoijua hii Baiolojia ya wanawake ni wachache sana

Half american Glenn To yeye vipi hapo Jamani kwenye kupimana afya ya akili?mdogo wangu katoa ushauri
Naona mnatafuta sababu ya kuhalalisha KIBURI, JEURI, GUBU na mengineyo ya kufanana na hayo kupitia hicho alichokiandika Clepatina , suluhisho ni kuishi nanyi kwa akili tu maana hata mkipima afya ya akili haimaanishi baada ya kuingia ndoani kutazuia kupata changamoto za afya ya akili.
 
Kumbe ukitulia una madini Sana mdogo wangu.....ishini nao kwa akili
 
Tumuombe roho wa Mungu aliyekufunulia akafanye kazi ya kuondoa huo ukichaa vichwani mwa hao akina mama kwanza.

Mwenye makosa anatakiwa aache hayo makosa yake na si kushawishi wengine wamvumilie

Huo upumbavu utolewe kwanza na sisi tutsshuhudi kazi ya roho ya Mungu na kumsifu na kushukuru
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nmecheka
 
Uko sahihi Sana,humu kila mtu ana akili zake za kutafsiri usikimbie,piga punch za nguvu waeleweshe Sina shaka na akili yako dogo
 
si wengine hatujali afanye anvyojisikia kwanza akileta gubu ndo vizuri nyumba kurudi asubuhi, muda wa kuhangaishana ulishapita
 
Uko sahihi Sana,humu kila mtu ana akili zake za kutafsiri usikimbie,piga punch za nguvu waeleweshe Sina shaka na akili yako dogo
Wee usinijaze upepo sisy nishayavagaa😂.
 
Mm ni mwanaume ila kuna w.ke wakiwa kwenye P ndo huzidisha ukarimu sanaa ata kma huko nyuma mlikua mnagombana

Kwaio inabaki ple ple kua ufeminist ndo ulowaharibu nyinyi w.ke wa sasa

Mambo ya kutaka 50/50 ndo kabisaaa

Malezi yanachangia sanaa, m.ke huyu toka mdogo anaambiwa soma mwanangu uje kupata kazi yako wanaume sio wa kuwaamini ,sasa unategemea nn kwa m.ke kma huyu?
 
Sikujua tutafika kwenye 50/50 na feminism.
Naombeni mnisamehe baba/kaka zangu sijapanga kuwakwaza🙏
 
Vipi kwa waliyegonga 'Menopause' kwani hawa hormones hizi si hazipo tena? Lakini mbona wake zetu ni walewale hata baada ya menopause?
 
Naongelea hormones sio malezi.
Huwezi ku secure pesa kama huna amani kwenye mahusiano yako mkuu.
Sawa sijakataa kuhusu hilo la hormones.
Lakini tafakari namna ambavyo utaanza kuhangaika na kiumbe kiburi(mfano wanawake wa Singida) hata kazi hutofanya vizuri ukimpa airtime mkuu na ndo maana kuna matajiri hawataki kusikia inshu ndoa na kama alibugi akaoa basi atapiga chini heri wagawane mali.
Hakuna kuoa,zalosha watoto tunza ishi maisha uliyoyachagua na wekeza kwa watoto wako kwa maisha yao ya baadae zaidi epuka kuwekeza kwa kiumbe mwanamke.
#Kataa ndoa mpaka umauti ukutane na ww,maana hata vizee vinaoa mkwanja tuu ndo key
 
Vipi kwa waliyegonga 'Menopause' kwani hawa hormones hizi si hazipo tena? Lakini mbona wake zetu ni walewale hata baada ya menopause?
Tena kwenye menopause ndo usiseme sasa jinsi hizo hormones zinavyovurugika.
 
Hakuna Cha hormones Wala nn , ni tabia
Yake mbovu tu! Hivi unakuta mwanamke ansmtukana mumewe matusi mazito
Halafu useme eti hormone na wakati huo hayupo kwenye siku zake!
 
Na wanawake wa zamani walikua hawana kiburi, jeuri, mdomo nk. Kumbe walikua hawapati hedhi! Alooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…