Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

Waambie ndoa ni paradiso,wao wamexpirience mabaya tu
 
Maisha ni magumu mtaani. Vijana tuko na hali mbaya. Pasi ndefu haiwezi kupigwa na familia. Unaweza kuuvumilia ubao ukiwa pekeyako na mtu hawezi jua kuwa koo limekauka. 😀
Maisha ni mapambano wacha kila mtu apambane namna anavyo weza lakini ubaya ni kutekeleza baadhi ya mambo ki kasumba ili kufurahisha jamii hasa hasa hili swala la ndoa lina waumiza vijana wengi sana wanao fuata mkumbo na kasumba zisizo na maana yoyote ya msingi.
 

Bora angekuwa kona kuliko kujiua.
Ukiona mwanamke kakuzidi akili unatafuta utakaemmudu.
We una injini ya ist unaparamia injini ya scania wapi na wapi.
Alikosea kuchagua ukichunguza ni lazima hata bibi yenu the same tabia
 
Sitambui sifa zote lakini woga sio sifa ya mwanaume
Tena woga wenyewe hamwogopi simba anamuogopa mwanamke😉😉😉
Kwa hiyo wanaume wasio oa wana ogopa wanawake ? Jitahidi kujua sifa na tabia mbalimbali za wanaume na sio wanaume tu bali za aina mbalimbali za makundi ya watu hapa duniani hii itakusaidia kuzika mitazamo yako hasi kuhusu watu mbalimbali ndani ya jamii yako.
 
assume kila mwanaume akioa akawa na mke mmoja tuu je wewe mwanamke uliyezaa na mume wa mtu ungetoa wapi mtoto na nani angewagonga
 
Labda wasilishwe sumu na mama yao.
Kila mwanamke anatamani mtoto wake awe kama diamond
 
Na tatizo kubwa la wanaume wenye ndoa Ni kugongewa wake zao na akina sisi tusioa😂

Juzi Kati nchini Uganda Kuna jamaa alimfumania mkewe hospitilini akiliwa na dogo mwenye miaka 22.

Ndoa ni ubatili mkubwa Sana jamani.
Mama yako alikuzalia nyumbani?
 
Mzee wako alikuwa dhaifu ndio maana akakimbilia jinyonga.
Mwanaume hupaswi jinyonga kisa mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…