Dhambi kwa nini?Sio kosa ila ni dhambi. Makosa unapelekwa mahakamani, dhambi inasuta dhamira yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhambi kwa nini?Sio kosa ila ni dhambi. Makosa unapelekwa mahakamani, dhambi inasuta dhamira yako
Waambie ndoa ni paradiso,wao wamexpirience mabaya tu1. Wamekulia katika familia zenye migogoro ya ndoa hivyo wana experience mbaya (Adverse Childhood Effect).
2. Ni wachoyo au waoga wa maisha wakiamini wakioa watakua na majukumu, au maisha yatakua magumu hawatayamudu au mke atatumia mali zake.
3. Wanauelewa mdogo wa binadamu, wakiamini ili waoe basi wapate mtu ambae hatakua na dosari hata moja, huu ni ujinga, hakuna aliekamilika.
4. Hawana imani ya dini na wamejihalalishia zinaa.
5. Ni malimbukeni wa kufata mkumbo.
6. Wao wenyewe ni wenye tabia mbovu, hivyo kila wanaemuona wanaamini anatabia mbovu kama za kwao.
7. Wanauwezo mdogo wa ku jaji mambo, wakiona mwenzao anasumbuliwa basi wanamini nao itakua hivyo, au waliumizwa huko mbeleni.
Kwanini ni muhimu mwanaume kuoa?
1. Kupata watoto na kuwatengenezea umoja, kuwa na watoto bara na pwani, kila mtoto na mama yake, ni chanzo cha mgawanyiko wa familia nyingi. Unapooa unatulia na familia yako.
2. Kupata safe sex na halali, unapooa, unasex kwa halali na unakua na uhakika wa uwena wake na usalama, hamsaidii mwanaume kusex na wanawake hivyo hovyo.
3. Kupata mashirika wa karibu, kitu amambacho wanaume hawajui, kadri unavyozeeka ndo unahitaji mtu wa karibu sana kua na wewe, mtoto wako wa kike au wakiume hawezi kukuhudumia ukishazeeka, mke wako atafanya hivyo. Pia ni raha kuwa na mwandani wako mnaeshare mambo yenu mbali mbali.
Kuna mambo nakubali si ya kuvumilia hata kidogo, hasa suala la usaliti, lakini kwa asilimia kubwa mambo mengi ni kuvumiliana, hakuna aliekamilika na hatatokea, cha msingi ni kupata ambae anamapunguvu unayoweza kuyavumilia, pia uamini pia wewe mwenyewe unamambo ambayo mwenzio anakuvumilia.
Ndoa ni raha, ndoa inaleta utulivu.
My dedication to my beloved wife is " One friend" by Dan Seals
Maisha ni mapambano wacha kila mtu apambane namna anavyo weza lakini ubaya ni kutekeleza baadhi ya mambo ki kasumba ili kufurahisha jamii hasa hasa hili swala la ndoa lina waumiza vijana wengi sana wanao fuata mkumbo na kasumba zisizo na maana yoyote ya msingi.Maisha ni magumu mtaani. Vijana tuko na hali mbaya. Pasi ndefu haiwezi kupigwa na familia. Unaweza kuuvumilia ubao ukiwa pekeyako na mtu hawezi jua kuwa koo limekauka. 😀
Wewe ni mjinga na bado una ng'ang'ania kuuendeleza ujinga wako, jielimishe kuhusu mambo mbalimbali na ubadili mtazamo wako mfu wa awali.Hao wasio na nguvu ndo wanashabikia kataa ndoa ili waonekane hawataki kuoa kwasababu ya matatizo ya kwenye ndoa kumbe kuna wanachokificha.
Makasiriko ya nini mkuu? Kwani huna nguvu? hebu nipishe...Wewe ni mjinga na bado una ng'ang'ania kuuendeleza ujinga wako, jielimishe kuhusu mambo mbalimbali na ubadili mtazamo wako mfu wa awali.
Hyo namba 1 hapo iliniathiri tokaa nikiwa na miakaa 5 nilikuwaa namwonaa b mkubwaa akimnyanyasaa mzee mpk mzee aliamua kujinyongaa kuondokana na KERO ya mama yetuu...na mwanamke yule baada ya mzee kujinyongaa hakukaa hata miez miwilii likaolewa na kijana ambayee umri n sawà na kaka ytu wa Kwanzaa nakututelekezaaa Moja kwa mojaa mpk leo,alafuu uniongopee kuhusu wanawakeee na nioee ili nipitiee manyanaso ya mzee aliyopitiaa kwa mama yetuu,,,aiseeeeee hapana ndoa n utumwaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wanaume wasio oa wana ogopa wanawake ? Jitahidi kujua sifa na tabia mbalimbali za wanaume na sio wanaume tu bali za aina mbalimbali za makundi ya watu hapa duniani hii itakusaidia kuzika mitazamo yako hasi kuhusu watu mbalimbali ndani ya jamii yako.Sitambui sifa zote lakini woga sio sifa ya mwanaume
Tena woga wenyewe hamwogopi simba anamuogopa mwanamke😉😉😉
assume kila mwanaume akioa akawa na mke mmoja tuu je wewe mwanamke uliyezaa na mume wa mtu ungetoa wapi mtoto na nani angewagonga1. Wamekulia katika familia zenye migogoro ya ndoa hivyo wana experience mbaya (Adverse Childhood Effect).
2. Ni wachoyo au waoga wa maisha wakiamini wakioa watakua na majukumu, au maisha yatakua magumu hawatayamudu au mke atatumia mali zake.
3. Wanauelewa mdogo wa binadamu, wakiamini ili waoe basi wapate mtu ambae hatakua na dosari hata moja, huu ni ujinga, hakuna aliekamilika.
4. Hawana imani ya dini na wamejihalalishia zinaa.
5. Ni malimbukeni wa kufata mkumbo.
6. Wao wenyewe ni wenye tabia mbovu, hivyo kila wanaemuona wanaamini anatabia mbovu kama za kwao.
7. Wanauwezo mdogo wa ku jaji mambo, wakiona mwenzao anasumbuliwa basi wanamini nao itakua hivyo, au waliumizwa huko mbeleni.
Kwanini ni muhimu mwanaume kuoa?
1. Kupata watoto na kuwatengenezea umoja, kuwa na watoto bara na pwani, kila mtoto na mama yake, ni chanzo cha mgawanyiko wa familia nyingi. Unapooa unatulia na familia yako.
2. Kupata safe sex na halali, unapooa, unasex kwa halali na unakua na uhakika wa uwena wake na usalama, hamsaidii mwanaume kusex na wanawake hivyo hovyo.
3. Kupata mashirika wa karibu, kitu amambacho wanaume hawajui, kadri unavyozeeka ndo unahitaji mtu wa karibu sana kua na wewe, mtoto wako wa kike au wakiume hawezi kukuhudumia ukishazeeka, mke wako atafanya hivyo. Pia ni raha kuwa na mwandani wako mnaeshare mambo yenu mbali mbali.
Kuna mambo nakubali si ya kuvumilia hata kidogo, hasa suala la usaliti, lakini kwa asilimia kubwa mambo mengi ni kuvumiliana, hakuna aliekamilika na hatatokea, cha msingi ni kupata ambae anamapunguvu unayoweza kuyavumilia, pia uamini pia wewe mwenyewe unamambo ambayo mwenzio anakuvumilia.
Ndoa ni raha, ndoa inaleta utulivu.
My dedication to my beloved wife is " One friend" by Dan Seals
Labda wasilishwe sumu na mama yao.Kweli kabisa mkuu familia ni kitu Cha mhimu Sana katika maisha ya binadam,mfano mm familia ilisafiri likizo hii ya krismas yaani maisha yalikua magumu sn linyumba unaona halina maana hata kurudi nyumban unaona uvivu,ukizeeka pia familia yako ndio ya kupambana mpaka mwisho ndugu wanaweza wasionekane ila hauwezi ukamtelekeza mzazi labda unatafuta laana.
Nyuma ya keyboardSisi watawa tuna-comment wapi?
Mama yako alikuzalia nyumbani?Na tatizo kubwa la wanaume wenye ndoa Ni kugongewa wake zao na akina sisi tusioa😂
Juzi Kati nchini Uganda Kuna jamaa alimfumania mkewe hospitilini akiliwa na dogo mwenye miaka 22.
Ndoa ni ubatili mkubwa Sana jamani.
wengi wanajionaga wamefika kileleni na sisi wanatuona hamnazo,but mungu hamtupi mja wake.Nadhani ingependeza ungejikita kwenye point za kwanini watu waoe kuliko kuwapondea ambao hawaoi, kana kwamba ukifanya hivyo ndio wataamua kuoa kiisa umewapondea na vijimaneno vyako
Mzee wako alikuwa dhaifu ndio maana akakimbilia jinyonga.Hyo namba 1 hapo iliniathiri tokaa nikiwa na miakaa 5 nilikuwaa namwonaa b mkubwaa akimnyanyasaa mzee mpk mzee aliamua kujinyongaa kuondokana na KERO ya mama yetuu...na mwanamke yule baada ya mzee kujinyongaa hakukaa hata miez miwilii likaolewa na kijana ambayee umri n sawà na kaka ytu wa Kwanzaa nakututelekezaaa Moja kwa mojaa mpk leo,alafuu uniongopee kuhusu wanawakeee na nioee ili nipitiee manyanaso ya mzee aliyopitiaa kwa mama yetuu,,,aiseeeeee hapana ndoa n utumwaa
Sent using Jamii Forums mobile app