Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

Duuh! baba alikuwa mlemavu au alikuwa Mpole sana? inakuwaje mwanaume anyanyaswe na mkewe kiasi hicho? alizidiwa kipato na mama? hebu dadavua ndugu. Mke wangu hana ubavu hata wa kunisonya!!
N story ndefu ,ilaa baba alikuwaa jemedari kweli kwelii maana hata baada ya kufariki alituachia Mali za kutoshaa ,mashamba na madukaa kadhaa ,Mali alizoziacha zimetubebaa sana kwa kusimamiwaa na kaka mkubwa na mkewee ...mkee wa kaka tulimgeuza kuwa mama mm na ndugu zangu ,,,,ila now day MUNGU mwema maisha yanasongaa ,n story ndefuu sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kumuombaa MUNGU mkuu yasikukutee ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na tatizo kubwa la wanaume wenye ndoa Ni kugongewa wake zao na akina sisi tusioa๐Ÿ˜‚

Juzi Kati nchini Uganda Kuna jamaa alimfumania mkewe hospitilini akiliwa na dogo mwenye miaka 22.

Ndoa ni ubatili mkubwa Sana jamani.
Wewe historia ya maisha yako iko vipi, wazaz wameoana??
 
Duuu ina maana unahisi kuwa wanawake wote wapo kama mama yenu
Kwangu mm n woteee maanaa uhalisiaa wa mwanamkeee jinsi alivyo na ni nyoka kiasi gan nilishuhudia kwa mama alinibebaa miezi tisaa ,,je huyo ntakae kutanae labda ktk ndoaa c n shetan zaidi ,,atakuwa na huruma gan kwangu labdaa ashindwe kunifanyaa ktu mbayaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba moja ni sahihi.
La kuongeze ni kwamba hawana nguvu za kiume.

Na hizi nguvu zinazotumika kuwakaza hao wanawake ambao hawajafunga nao ndo ni zipi..?

Au issue kubwa ni kutomber mwanamke uliemuoa?

Sitaki kuamini kwamba watu wanakataa ndoa kwakua hawana nguvu za kiume, wakati daily wanawake wanaliwa vizuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ