Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

Watu sahihi ni wapi hao ?
 
Na tatizo kubwa la wanaume wenye ndoa Ni kugongewa wake zao na akina sisi tusioa😂

Juzi Kati nchini Uganda Kuna jamaa alimfumania mkewe hospitilini akiliwa na dogo mwenye miaka 22.

Ndoa ni ubatili mkubwa Sana jamani.
Mtu aliyeolewa akiliwa na mwanaume wake ni halali kama mtu mwingine akifanyq hivyoo anajiharibia ndoa yake niraha mwanzoni ila muendelezk ni mmbaya haya .
 
Pole sana
 
Una fahamu sifa na tabia za wanaume wote hapa duniani ?
 
Ndoa ndoano, chambo wewe! 😀

But, hakuna mtu anachukia ndoa wala hapendi ndoa. Ndoa ni tamu sana(Nasema kwa nadharia).

Tatizo ni kwamba vijana, mabinti wanatafuta hela kwanza ndio waingie kwenye ndoa ili wasinyanyasane!
Cha ajabu sasa hela nazo hazipatikani 😀

Nakumbuka kuna binti mmoja aliwahi kunitamkia 'Acha nitafute kwanza hela ndio niolewe. Ukiwa hauna hela mwanaume atakunyanyasa."
 
Poleee, sio wanawake wote wako na roho ya ukatili kama huyo.
 
Ndoa ni nzuri Sana lakini

Changamoto za kisheria za kiserikali zinambeba mwanamke na kumuumiza MWANAMME!!

Ikitokea muolewaji anajua sheria au mwelewa sana atakumaliza mwanamme!!

Sheria zimepunguza nguvu ya mwanamme kama kiongozi wa kaya na kumpa mwanamke haki ya kubisha muongozo wakati Mwingine Ili mambo yasonge kama kiongozi inapaswa kuamua bila mjadala Sasa akikupinga mzozo unaanza akidai talaka na Watoto BADO wadogo atashinda yeye na Watoto mahakamani wewe UTAAMBULIA maumivu na ufukara wa muda MREFU kama sio umaskini wa kudumu!!

Yaani mtagawana nusu kama kawa!

Halafu linakuja swala la Watoto ambao BADO wadogo itabidi vitega uchumi vimilikiwe na mama ambae Ndio mkaaji na Watoto kama BADO wadogo na utaamriwa matumizi utoe kuongezea pale panapopungua!

Mwanamme tajiri unakuwa maskini ghafula!

Hiyo nimeliona KWA shemeji yangu fulani !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…