Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Acha tu mkuu🤣 guta na ISTAnaogopa kugawana mali?😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tu mkuu🤣 guta na ISTAnaogopa kugawana mali?😂😂😂😂
HahaaaMsiotaka kuoa mtaolewa tuu.
Kuoa ndio kuwa mwanaume?
Kwahiyo...
Dangote
Benzos
Diamond Platnumz
Na wengine wotee
SIO WANAUME?
#YNWA
Hiv unampigaje mtu hivi? AiseeMwenzenu Amber Lulu Mme wake kidogo amuue Jana.
Cheki hicho kipigoView attachment 2484344View attachment 2484345
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Unashangaa MTU kupigwa hahahahaHiv unampigaje mtu hivi? Aisee
Wee labda uoe mwanamke kapuku na mwenye tamaa ya mali, kuna wanawake wana zaidi ya hivyo ulivyoandika kiongozi. Ndoa sio ya kila mtu nyie ambao hamtak kuoa fresh tu ila msiwajaze sumu wengine eti ndoa mbaya ndoa mbaya nyie pambaneni na ubachela wenu.Binafsi ni Shamba la parachichi Eka 35 + nyumba Dar + ka-IST kangu + Guta linalokodishwa + biashara ya mtaji wa 20 Mil + other things Mungu alivyonibariki
Kwahiyo nione kiumbe wa mtu ambaye hajui hata mia ya kupata hivi imetoka wapi then aje "TUGAWANE MALI, SI TUNAACHANA"
#YNWA
Nimeona yote hayo ila sioni sababu ya kufikia huko, mtu kama mmechokana si muachane mambo ya kuumizana hivi ndio nini sasa. Hawa ndio wapuuzi tunaosema wasiingie ndoani wanasababisha ndoa zionekana mbaya kumbe ni upuuzi wa baadhi ya watu.Unashangaa MTU kupigwa hahahaha
Hujasikia watu wanauana kabisa kwenye ndoa mkuu!
Ingieni kwenye ndoa na watu sahihi na kama mko tayari
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
We unadhani nchi za magharibi hawakuwahi kupitia haya tunayopitia ya misukosuko ya ndoa Hadi watu kuwa wanauana!??Nimeona yote hayo ila sioni sababu ya kufikia huko, mtu kama mmechokana si muachane mambo ya kuumizana hivi ndio nini sasa. Hawa ndio wapuuzi tunaosema wasiingie ndoani wanasababisha ndoa zionekana mbaya kumbe ni upuuzi wa baadhi ya watu.
Sawa kiongozi.We unadhani nchi za magharibi hawakuwahi kupitia haya tunayopitia ya misukosuko ya ndoa Hadi watu kuwa wanauana!??
Hadi wamekuja kufikia kuwa na ndoa za mikataba kuna mazingira kama haya tunayopitia wao walipitia Sana.
Kama ilivyo Ulaya ndoa Kwasasa sio issue kubwa na ndoa za mikataba ni kawaida. Ndiko na sisi tunakoelekea. Amini nakwambia Sababu kubwa ya kulega lega Kwa ndoa ni issue za haki Sawa kwenye ndoa.
Feminism propaganda ndio mchawi WA Taasisi za ndoa zote duniani. jaribu kufatilia ndoa zote ambazo zimedumu ni zile mwanamke amekuwa Submissive. Feminism haihitaji Hilo inataka mke na Mme wawe Sawa kwenye ndoa, Hilo halitakuja kutokea na kama likitokea hiyo ndoa watu watauana kama sio kuachana.
Sasa hizi Ulaya kuna movement ya Vijana Wasioe Kwasababu mwisho WA siku Ikitokea divorce mtoto WA kike ndio ananufaika. Hiyo movement inazidi kupenya Kwa Kasi sana.
Mfuatilie mmoja WA wanaharakati WA Hiyo movement ANDREW TATE utaona mengi anayozungumzia.
Ila ndoa ya kudumu ni Ile ya mwanaume kuwa kichwa cha familia. Hata wazazi wetu walidumu kwenye ndoa baada ya wazaz wetu kujipa nafasi ya pili kweye ndoa na sio sasa hivi mwanamke anajipa nafasi ya Kwanza kama Mme
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Ndoa ni kifungo huru
Wanawake wa sikuhizi wapo legelege sana unapigwa kidg tuu unaanza kupiga mapicha na kupost ili kuleta tension mtaani upate kiki na uuze gazetiHiv unampigaje mtu hivi? Aisee
Kwa hiyo iingizwe kwenye katiba mpya kua kuoa ni lazima?Mwanaume anayeogopa kuoa ni mwanaume wa kuogopwa.....yaani ni mwanaume anayeogopa kuwa mwanaume
Hao wasio na nguvu ndo wanashabikia kataa ndoa ili waonekane hawataki kuoa kwasababu ya matatizo ya kwenye ndoa kumbe kuna wanachokificha.
Wala hatukasiriki maana ndoa bado zinafungwa kila kukicha.