Kavirondo
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 751
- 1,605
[emoji848]..Baba yako hakuwahi kumlisha mama yako..!Wenye kisukari na presha asilimia kubwa wameoa, kuoa ni ujinga, ni utumwa
Unalishaje mtu ambaye hujazaliwa naye?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji848]..Baba yako hakuwahi kumlisha mama yako..!Wenye kisukari na presha asilimia kubwa wameoa, kuoa ni ujinga, ni utumwa
Unalishaje mtu ambaye hujazaliwa naye?
Umeshafuatilia Research za Single Parenthood?..Hii kuficha ya kifuani ndio inasababisha wanaume wengi wanakufa mapema na kuacha wake zao wakiishi na wanaume wengine.
Zaaa watoto lea watoto wako
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Unaichukuliaje subwoofer weweUtaskia eti, yaani mi
Nioe af nije nigawane mali na mwanamke never. Ukimuuliza una mali gani, subwoofer na kitana. Mbafffffff[emoji1787]
Na kwanini uzae na mke wa mtu..?Mkuu unaona za kijinga kwa sababu umezeeka , kampeni ya kataa ndoa kuna watu apa wapo ndoani wanaona ni nzuri ya nn kufuga ng'ombe wakati unapata maziwa ? Kma ninaweza kuzaa na mke wa mtu kuna haja gan yakuoa ?
Mkuu maamuzi ya kushika mimba niya mwanamke , alafu kusema kuna mwanamke wa mtu itakuja kukuweka jela badaeNa kwanini uzae na mke wa mtu..?
Huoni wewe ni sehemu ya kuharibu ndoa ya mwenzako?..
Hakuna mahali mimi nilipo endesha kampeni ya #kataa ndoa.Mkuu unaona za kijinga kwa sababu umezeeka , kampeni ya kataa ndoa kuna watu apa wapo ndoani wanaona ni nzuri ya nn kufuga ng'ombe wakati unapata maziwa ? Kma ninaweza kuzaa na mke wa mtu kuna haja gan yakuoa ?
Nyakati hizi ukitaka kuishi na mwanamke kwenye ndoa ni lazima ujifanye zoba, ujitie upofu, ujitie kiziwi ndio unaweza kuishi na mwanamke wa nyakati hizi.....lakini ukiishi kama mume ndani ya nyumba hauwezi kudumu naye........
Ndoa ni jambo la msingi kwenye maisha lakini changamoto na varangati yanayotendeka kwenye ndoa yanawaacha vijana dilemma kuamua.......
Nimeshuhudia vijana wengi waliokuwa wamestawi kimaisha lakini wamekuja kuporomoshwa na wake zao..... wengine tumewazika kwa kushindwa kuhimili machungu......
Wapo wanaoishi kwenye ndoa ilimradi lakini kimsingi nafsi zao zimeshakufa na wanatembea kama wafu.........
Zamani nilikuwa nahamasisha vijana wengi Suala la kuoa lakini Siku hizi kijana akinifuata kuniomba ushauri namkwepa sana.....maana kwa namna moja au nyingine nimewaingiza vijana wengi kwenye matatizo nikiwahamasisha waoe.....
Hakuna kijana rijali asiyependa kuoa....,isipokuwa yanayoshuhudiwa mitaani kuhusu wanandoa yanatisha na kutia kinyaa kabisa.......
Wewe umesema matatizo hayapaswi kukimbiwa, rudia ulicho andika awali.Umekazania kuuana.Hawajaambiwa wakioana wapigane au kuuana.Huo ni ujinga wao.Ndoa ni taasisi ya kufurahia maisha.
🤣🤣🤣🤣ni mali ya kugawanywa
Unadhani sisi tunawakomalia waoe mkuu? Walaaa. Tunapingana na sababu zao eti wanahofia wanawake wanaolewa kwa tamaa. Eti wakiachana watagawana mali. Sasa wewe kama baba wa binti niambie hiki
Kitu, je, unamlea mtoto wako aje kuwa tegemezi kwa mwanaume?
Basi the sad part of this ni kwamba baadhi ya wanaume humu jf wana dhana kwamba tunaolewa kwa sababu ya mali zao ambazo wazazi wetu walitusomesha tukazitafute at the same time hawataki wanawake wafanya kazi wanasema ni feminists. Kuna mkanganyiko humu Mkuu usione tunapopoana. Mambo ni mengi😅
Endelea kupekua thread utakutana na hii kauli, “ huyu ataolewa na nani hivi alivyo mjeuri” yaani they think we are desperate for marriage. Of which it’s not true.
Nyinyi kama wazazi/walezi na wakubwa pia waelekezeni vijana kwamba kuna wanawake watafutaji tena sana ndo maana kizazi cha marioo kimeongezeka miaka hii mwanaume anakunja nne mwanamke anatafuta kwa jasho. Ni hayo tu
Eti HAKUNA. Rudia kusoma kwa sauti. Kama vitu hujui uwe unanyamaza. Wanaume wangapi wameua wake zao kwa sababu ya mali?Hakuna mwanaume ambaye amewahi kumuua mkewe au mpenzi wake kwasababu ya MALI,wengi ni usaliti,watu wengi hawataki kuoa kwasababu kuoa inakua ni nadharia tu,ila huyo unayemuoa anakua mgawaji wa nyapu nje,kama kawa,kuna haja gani ya kumuoa?
Wazee zamani walikua wanaoa,sababu moja wapo ni ukosekanaji wa wadada wanaogawa nyapu hovyohovyo,tofauti nasasa.
Kama maamuzi ni ya "kwake"..si pekee..na ndio maana Sheria zinakubana uhudumie..(child support)Mkuu maamuzi ya kushika mimba niya mwanamke , alafu kusema kuna mwanamke wa mtu itakuja kukuweka jela badae
Ni kweli mkuuHakuna mahali mimi nilipo endesha kampeni ya #kataa ndoa.
Jambo la msingi tunalo paswa kufahamu ni kuwa ndoa sio jambo la lazima bali ni jambo la hiari mtu kutekeleza au laah.
Ndio maana kuna watu walio amua kuishi maisha ya kiseja iwe ni kwa sababu za kidini au sababu zao binafsi mmoja wapo mimi, jamii yetu ya kiafrika ina hitaji kubadili fikra na mitazamo yao juu ya hili kundi la watu ikiwemo huyu mleta mada maana kwa asilimia kubwa alio andika kuhusu hili kundi la watu hayana maana.
Ndoa haipaswi kuwa kasumba kwa watu kutekeleza bali inapaswa kuwa hitaji la hiari tu.
Jamii inapaswa kubadili mitazamo yao hasi ya awali na kuzalisha fikra mpya kuhusu swala la ndoa na mahusiano ya kimapenzi maana haya ni maswala ya hiari binafsi ya mtu na wala sio matakwa ya lazima kutekeleza.
Ni uzembe wake[emoji848]..Baba yako hakuwahi kumlisha mama yako..!
Wanaoongoza kwa zinaa ni Hao walioko ndoani. Tena Wana viapo kabisa.Asili ya nafsi ni yenye kupenda maovu na starehe, ndio mana wazee wa zaman hata kabla ya dini walikua strict sana na suala la zinaa.
Mnachofanya mnaokataa ndoa ni kuipamba zanaa ambayo ina athali nyingi sana kwa jamii
Na nyie mliooa na kuolewa tulieni ndoani sio kila siku manafumaniana na kuuana juzi tu hapa jamaa kachoma visu mkewe kisa kamfumania. Nyie ndio mnaongoza kusalitianaMkikataa kuoa msitembee na mabinti za,watu na kuwapa mimba na kuwaacha huku wana expect ndoa...nyie ndo wa kwanza kuwaponda singo maza humu
Aya sawaNdoa hazifai kwa sasa labda zaman
°mtu mwenyewe unafanya kazi halmashauri, tafuta kazi nzuri toka hapo halmashauriHivi tuwe wakweli...
Anzia hapo mtaani kwako na kwa ndugu zako...
NI WANGAPI WANATESEKA NA NDOA?
#YNWA