Wanaume wanapenda kwa vipande sio kitu kizima

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Mods tunaomba viemoj vya kugaragara kabisa Moderator πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahahah ufala ulio nao ni nyota 5! U made my day πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚β•
 
huyu mama nimemsilikiza kama mara mbili hivi, alipo toa tamko kwa mara ya kwanza lile tukio la mwamposa
na hili la pili, huyu maza ni akili kubwaaaaz aiseee anaongea vitu kwa uhalisia kabisaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
wanawake tunawapendea vingi:
uyu miguu
yule chura
mwingine lips
kule sauti
mara hips
hapa rangi mweupe/mweusi
urefu/ufupi
mara ziwa kubwa dogo chuchu konzi dooooooh ni shida aisee mengine nimesahau πŸ‚πŸ‚πŸ‚
 
Tumuandalie tuzo ya kumpongeza yani hata Phd yake anaonekana she earned it.
 
Ameongea fact hadi nimefurahia, he looked on the matter positively! Culprit ni umalaya ila its because of nature. Mwanaume anavutiwa na vingi (sections/vipande) katika mwili wa mwanamke na hawezi penda entirely.

Binafsi napenda brains, sura nzuri, shape, romanticness & understandability! Inakuwa ngumu kupata package yote kwa mtu mmoja but mwanamke mwenye mawili miongoni mwa hayo hapo juu lazma nitapenda kuwa nae penzini.

.
 
Tumuandalie tuzo ya kumpongeza yani hata Phd yake anaonekana she earned it.
Mie nafikiria nimpatie ng'ombe mmoja mwenye mimba kama shukurani ili apate kunywa maziwa mengi zaidi aongeze nguvu.
 
wanawake wana vingi
kuna demu mmoja nikiongeaga nae napenda kumshika mkono
yaani ana viganja vilaini kinoma yaani kama vina kumassage flani hiviπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
wanawake wana vingi
kuna demu mmoja nikiongeaga nae napenda kumshika mkono
yaani ana viganja vilaini kinoma yaani kama vina kumassage flani hiviπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Na huo ndio ugonjwa wako sio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
yaaaah ugonjwa mpya huuu kwangu una kama miezi hivi
haujapishana sana na corona toka niupateπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wanawake jinsi walivyo na vionjo tofauti hio ni mpaka kwenye centre of gravity! Pale kuna mvuto tofauti napo..Kila mmoja yuko na ladha yake kama we ni mtu wa kutest mitambo utakuja gundua. Kuna wanawake watamu zaidi ya wengine.
 
acha tu mkuu asa mtu ndo uwe na mmoja
wazee wetu wa zamani wakifufuka wakiskia tunawapa stori hizo wanaweza kutuchapa makofi
yaani wanavyozidi kuwa wazuri halafu mmoja, kweli kuna sehemu tumekwama kama jamiii
 
Wanawake jinsi walivyo na vionjo tofauti hio ni mpaka kwenye centre of gravity! Pale kuna mvuto tofauti napo..Kila mmoja yuko na ladha yake kama we ni mtu wa kutest mitambo utakuja gundua. Kuna wanawake watamu zaidi ya wengine.
Kama wanaume piaπŸ˜›
Onja onja ukianza huachiπŸ€¦πŸΌβ€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…