Wanaume wasichojua hata sisi huwa tunawatamani

Nilikua mimi, unautesa sana moyo wangu, nilipokuona tu mapigo ya moyo yakawa hayana mpangilio kabisa; uliponipakia kwenye gari wamenishusha kwenye kituo ambacho sikijui, nipo hapa bado natafuta njia ya kurudi, ebu njoo pm unielekeze vizuri​
 
Utakua umeniona mimi
 
Kumbe kama Ivo muwege mnafunguka
 
Huwa inatokea ila akipotea machoni naendelea na mambo mengine.

Kuna hospitali nilienda kuna daktari nilimkuta jamani kuna wanaume wana mionekano mizuri unabaki kuduwaa. Nikapewa huduma nikasepa japo nilitamani kuendelea kumuona.
Na ndio sisi humu humu manatuchukulia poa na pm mnazifunga shauri yenu.
 
Na nyie wanawake kama mlikuwa hamjui ndo mjue sasa kwamba sio kila mwanaume mtakaemuelewa na yeye atawaelewa vilevile kuna wengine hatutaki kabisa pisi za bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…