Wanaume wengi hufa kabla ya wakati wao kwa sababu ya laana kutoka kwa wazazi

Umenena vyema,

Leo tujadili hili la watoto kutowajali wazazi ambao nguvu zao zote zimeishia kuwafikisha watoto hapo walipo!!

Vp unawakumbuka wazee Kwa kipato unachopata?
 
Kutwa kutusimanga ...ingali wamezaliwa na mwanamke huyohuyo
Mama nawe umeingia ktk mjadala wa wanaume!!

Anyway hatuwasimangi,

Tunawakumbusha kaka na WADOGO zetu wa kiume wawakumbuke wazazi wao wote wa kike na kiume kuepuka LAANA.

Wamama big up, wanawake hukumbuka sana wazazi wao nyumbani .

Wa kiume ndo mtihani, kutwa kucha kulipa bill za MAKAHABA!!
 
😂😂😂✋
 
Amina🤣🤣🤣🤣💺
 
Samahani ikiwa nimekuudhi,

Hizo sababu zingine hazijadiliwi hapa, HOJA ni je usipojali wazazi wako waweza pata LAANA ambayo yaweza pelekea kifo chako kabla ya wakati?

Jikite hapo unijibu ndugu!!

Pia nakukumbusha tu, ujenge Utaratibu wa kuwatunza walokuzaa ndo Miungu wa Dunia hii, baba na mama ikiwa Bado wangali wanaishi.
 
Halafu pia umeongelea wazazi wa Nchi hizo wanaishi muda mrefu na wanaondoka duniani Kwa umri wa uzee karibia sawa.

Umekiri huko wanatunzwa na sirikali zao, na wanahudumiwa vizuri!!

Huku sirikali Haina habari nao, sasa wahudumiwe na nani kama Si watoto wao?

Hivyo Hadi hapo, kuwatunza wazazi wetu ni jambo jema Ili tusipate LAANA ya wazazi.
 
Basi sawa
 
HOJA tayari IPO mezani,nimesoma na kuandika maandiko uloquote,

Mchango wako tafadhali🙏

Pia mm Si kijana kama unavyodhani!!
Vijana ndiyo huwa wabishi wakidhani wao wanajua kila kitu!.
============
Mungu alipompa adam usingizi ili amtoe bibi Hawa alikuwa na makusudi ya hawa watu waishi pamoja hadi uzee huku wakitegemeana na siyo kutegemeza.

Linapokuja suala la kutafuta, aliyepewa jukumu ni mzee Adam, baadavya dhambi Hawa aliona kama katengwa and had been perfectly happy by her husband’s side in her Eden home; but like restless modern Eves, she was flattered with the hope of entering a higher sphere than that which God had assigned her.

Kwa sababu alianza kiwaka tamaa akitaka nafasi ambayo Mungu hakumpangia, In attempting to rise above her original position, she fell far below it.

Kinachofanyika hapo ni matokeo sawa yatafikiwa kwa wote ambao hawataki kufanya majukumu yao ya kila siku maishani accordance with God’s plan, in their efforts to reach positions for which He has not fitted them, many are leaving vacant the place pale where they might be a blessing.

Kutokana na tabia hiyo niliyosema hapo roho ya tamaa, uchoyo ambayo ilipandikizwa na shetani ndiyo hiyo leo wewe Rabbon unasema laana, siyo laana bali ni tabia iliyoibuka baada ya dhambi, fahamu kuwa in their desire for a higher sphere, many have sacrificed true womanly dignity and nobility of character, and have left undone the very work ambayo Mungu aliwataka wafanye.

Kisa cha haya yote ni dhambi hamna laana wala kuwasahau wazazi.
 
Laana Haipo.

Mzazi aliyeshindwa kufanikiwa wakati wa ujana wake asilete matatizo na shida zake kwa mtoto..

Mzazi anaye zaa watoto kwa mategemeo ya kwamba watakuja kumsaidia kwa kila kitu uzeeni ni mzembe na mjinga...

Ulicho andika hapa ni mawazo ya wazazi maskini choka mbaya walio shindwa kufanikiwa, Sasa uzembe wao wanataka watoto waje kuwasaidia.
 
Unachekesha,

Ndio ninyi mko dar mkiulizwa kuhusu walipo wazazi wenu mnadai walishafariki,

Kumbe wapo hai na wanapitia moto hatari.

Malipo ni hapa hapa, Wana wenu watawalipeni.
Huyo mzazi Alishindwaje kufanikiwa enzi za ujana wake?

Uzembe wake ajibebeshe mwenyewe.

Kutoa msaada kwa mzazi si lazima.
 
Kwamba wazazi waliofanikiwa kiuchumi hawahitaji kutunzwa na watoto wao?

Kwako kumsaidia mzazi ni kumpa pesa pekee?
 
Uko sawa kabisa,

Maana pia haiingii akilini mtoto awe tajiri mzazi akose hata sabuni ya kufulia, ilhali upande wa wazazi wa mke wako njema kupitia mkeo!!

Huo nao ni utajiri wa mashaka!!
Huyo mzazi ni Mzembe ndio maana Kawa maskini.

Sasa ulitaka na mtoto awe maskini kama mzazi?

Nakwambia hivi, Hakuna ulazima wa mtoto kumsaidia mzazi.

Hizi ni mentality za wazazi wavivu, wazembe na wajinga.

Hao ni wale wazazi ambao kipindi wenzao wanashika maeneo mjini wao walikua wana ruka Disko...[emoji1][emoji1]

Sasa hivi wanataka huruma za watoto...

Kila mtu ata uchukua mzigo wake mwenyewe.
 
Kwamba wazazi waliofanikiwa kiuchumi hawahitaji kutunzwa na watoto wao?

Kwako kumsaidia mzazi ni kumpa pesa pekee?
Ndio hawaitaji kutunzwa.

Kwani unazaa mtoto ili aje akutunze uzeeni?

Labda kuwasaidia tu pale inapo bidi ila si lazima.

Na wewe si una majukumu yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…