Wanaume wengi hufa kabla ya wakati wao kwa sababu ya laana kutoka kwa wazazi

Hii ni Novemba 2023,

Andaeni mipango kuwaona wazazi wenu,

Hata kama huna kitu, jitahidi hata wakuone tu watafurahi na kukuombea.

Baraka za wazazi ni muhimu.

Amen
 
Jamani December hii. Mipango ya kuwaona wazazi imekaaje?
 
Hivi kuna mtu aliyewahi kufa kabla ya wakati wake?
Ndio, zipo Roho zinazotangatanga,

Mtu akifa kabla ya wakati wake, hapekekwi kuzimu au Mbinguni, hubaki akitangatanga duniani Hadi siku yake ifike.

Mfano mzuri, ni watu walioua wengine Kwa Hila, lazima uone maluweluwe.

Okoka mapema, shetani Huwa anavizia, maana ajua akikutoa kabla ya wakati, unapoteza muda adhimu wa kutubu.

(Kutoka 20:12). Usipoheshimu wazazi, utaishi siku chache, kuliko ambazo ungeweza ishi.
 
Poor! 0%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…