Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, zipo Roho zinazotangatanga,Hivi kuna mtu aliyewahi kufa kabla ya wakati wake?
BIG NO. 0%MAISHA hayana laana Binadamu Hana Huwezo wa kumlaani Mtu yoyote wanaume hufa mapema kutokana na Kazi ngumu na stress za wanawake plus Majukumu.
Poor! 0%Na hili la kufa mapema Kwa wanaumme. Linaweza likawa kweli.
Ila sababu kubwa ni mfumo wa maisha unaopelekea tabia hatarishi za utafutaji Hela
hasa Kwa nchi zetu maskin. Tabia hatarishi kama vile.
Utumiaji wa madawa ya kulevya.
Pombe.
Umalaya
Uhalifu
Utafutaji wa pesa. Ajali nyingi huuwa Wanaumme. Kama vile uvuvi.uwindaji. migodi. Kilimo na zingine zingi zinachangia vifo Kwa wingi..
Ameongea ukweli bhanaKutwa kutusimanga ...ingali wamezaliwa na mwanamke huyohuyo
Solution imekaa poa saanaSOLUTION
Ubarikiwe.Solution imekaa poa saana
Endeleeni kupiga punyeto huku ni kwa wenye uhakika wa kula papa mda wowoteSisi majobless ambao bado tupo nyumbani hata hela ya kuhonga Hatuna tuna comment wapi ...[emoji23]