rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Bado mtoto Sana kuanza kunijajiNimesema ndo "ninyi".
Watu wenye mawazo aina Yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado mtoto Sana kuanza kunijajiNimesema ndo "ninyi".
Watu wenye mawazo aina Yako.
Ok tujikite kwenye mada tafadhali 🙏Bado mtoto Sana kuanza kunijaji
"Waheshimu baba Yako na mama Yako, Ili siku zako zipate kuwa nyingi katika Nchi upewayo na BWANA Mungu wako"
Ni Kweli ulichosema ndugu, sababu zipo nyingi,Zipo sababu pia za kimazingira na kazi za hatari. Kwa mfano madereva na makondakta na hata wasafiri wengi wa kibiashara ni wanaume. So ajali nyingi za magari tegemea wanaume wengi kufa zaidi.
Walipewa watoto wote wa kike na kiume.Kwani hii amri alipewa mwanaume pekee?
Namwongelea Mwanaume anayehangaisha KICHWA usiku na mchana kutafuta riziki ya familia na hapumziki, nini kinachomwondoa mapema?INTRODUCTON.
Salaam, Shalom!!
Leo naandika mada hii nikiwa na Sina furaha sababu Mimi Rabbon pia ni Mwanaume.
Wanaume tulipoambiwa tuishi Kwa akili na wake zetu, au na wanawake ,Kuna Siri imejificha nyuma, ipi hiyo?
Under Ceteris peribus, while other factors remain constant,
Ni Kweli, wanaume wengi huoa wake wanaowazidi umri hivyo wengi wanapotangulia kufariki ndugu na jamaa hutoa sababu hii, lakini Si Kweli, IPO sababu zaidi ya hiyo.
Wanawake ujiwauliza watakwambia wti Kwa Sababu wao hawatunzi jambo moyoni na hulia machozi sana ndo sababu ya kuishi maisha marefu.
Wanasayansi wengine hudai kuwa sababu wanawake wao Wana matiti ambayo hutunza maziwa ambayo ni chakula kinachowapa kusurvive muda mrefu, hapo ni Kweli Kwa kiasi fulani, bt si sababu kuu.
Wanaume wenzangu tujiulize inakuwaje mwanamke anazaa Kwa uchungu hadi watoto 14, na wote tunajua shughuli pevu ya kuzaa mtoto ilivyo, lakini mwanamke huyo huyo utaondoka na kumwacha duniani, nini sababu? Tatizo ni LAANA hii nitakayoiongelea leo.
Dunia nzima imeweka mfumo thabiti kwamba Mali anazomiliki mwanamke ni zake pekeake, lakini Mali anazomiliki mwanamume ni za wote, Kuna kitu hapo kimejificha ambacho wanaume Bado hawajakijua kinachopelekea kuchomoka duniani mapema.
Namwongelea Mwanaume anayehangaisha KICHWA usiku na mchana kutafuta riziki ya familia na hapumziki, nini kinachomwondoa mapema?
Namwongelea Mwanaume anayevuja JASHO, anamhudumia mkewe na hawara na machangudoa na anamudu wote kuwapa mahitaji yao, kwanini anawahi kuchomoka duniani mapema?
Namwongelea Mwanaume aliyeokoka mwenye baba na mama wa kiroho, anawatunza wazazi wake wa kiroho, lakini Bado anawahi kuchomoka duniani kabla ya siku zake, nini chanzo?
Naongea na Mwanaume unayeacha Kodi ya meza Kila siku, unajibana Ili familia yako isonge, kwanini bado huna maisha marefu, ipi sababu, ni hii:
LAANA YA WAZAZI NI CHANZO KIKUU CHA WANAUME WENGI KUFA MAPEMA KABLA YA WAKATI WAO.
Wanaume wengi tumelisahau hili.
Kwani hamkusoma maandiko katika Amri ya Mungu isemayo,
"Waheshimu baba Yako na mama Yako, Ili siku zako zipate kuwa nyingi katika Nchi upewayo na BWANA Mungu wako"
Pia hamkusoma kuwa,
" Baba na mama (Wazazi) ni miungu wa Dunia hii?
Watu wengi hasa vijana na wanaume huangaika sana na hukumbwa na mabalaa na kufungwa vipato vyao duniani bila kujua Chanzo ni LAANA ya wazazi!!
Wakati ukiacha Kodi ya meza Kwa mke wako, atahakikisha anatenga kiasi kidogo kidogo Kila siku, Kisha hukituma Kwa mama yake mzazi.
Mzazi wa mke wako ambaye mara nyingi ni mwanamke sababu mzazi wa kiume mara nyingi anakuwa ameshaiaga Dunia, mzazi yule wa kike, huipokea sadaka Ile na kumwombea baraka aliyeitoa ambaye ni mwanae wa kike, baraka hizo hazitakufikia wewe Mwanaume sababu nawe unao wazazi wako kijijini hawana hata mia mbovu[emoji24]
Wazazi wako ewe Mwanaume wanaweza kata hata mwaka hujawatumia chochote kuwatunza, wanaishi nyumba chakavu wanalala chini, hata godoro hamna, wewe umehangaikia familia Yako wanakula na kulala vizuri, unamsahau baba na mama Yako!!
Ikitokea umeenda kijijini, utamwita pembeni mama na kumshikisha bulungutu la pesa, Kisha baba unampa pesa kiduchu ilhali ndo anajukumu kutunza familia.
Wazazi wako wanaposikia umenunua gari Kwa ajili ya mkeo kutembelea na wakisikia umejenga ukweni kwa mkeo, kinachotokea huwa wanahuzunika[emoji24]
Mama anashika tumbo na kumlilia Mungu, baba hushika kiuno na kulia, Kila Mmoja sirini Kwa wakati wake.
Ugumu wa maisha wanaume wengi tunaoupitia mijini, chanzo kikuu ni LAANA ya wazazi.
Mwaka mzima unaisha hujapeleka Kwa wazazi hata mia mbovu, lakini unapata pesa ya kuhonga MAKAHABA. LAANA inakunyemelea......
Unapomuhonga kahaba, yeye huchukua pesa hiyo na kutumia pesa kiasi Kwa wazazi wake, Kwa maana ingine, pesa yako inatumika kuwa baraka kwa mwanamke while wewe hupati kiasi cha kuchota baraka za wazazi walokuzaa.
Na wanawake ni Wachache sana ambao huwakumbusha waume zao kuwatumia chochote wazazi wa waume zao.
Mwanaume mwenzangu, hasa vijana ambao hamjaoa bado, msisubiri kupata KICHAA kitokanacho na LAANA ya wazazi wanapohuzunika Kwa ajili yetu. Msisubiri kupelekwa kijijini mkiwa katika majeneza.
SOLUTION.
1. Hakikisha unatunza Kwa Siri chochote kitu, unatumia Kwa wazazi wako kimya kimya, sababu najua wake zenu wengi Wana gubu na wasingependa mbarikiwe.
2. Pata muda wa kuongea nao hata Kwa simu na uwashirikishe changamoto unazopitia, ukijua kuwa hao ni miungu wa Dunia hii.
Wazazi wanapokuhuzunikia Kwa kutowajali wazazi, humpa KIBALI shetani kukushambulia Kwa mapigo na LAANA mbalimbali!!
3. Tafuta muda ukatubu, wajengee wazazi wako nyumba nzuri, watumie zawadi, nenda kusali lakini jua miungu mwenye FUNGUO za maisha Yako duniani ni wazazi,
4. Ishi na mke wako Kwa Akili sana, hakikisha unamzidi akili na Maarifa.
Ningeongea zaidi bt inatosha Kwa sasa!!!
Karibuni Kwa shuhuda na MAONI [emoji120].
Wazazi walijinyima kujenga nknk Ili usome shule, waliuza mashamba Ili upate matibabu hospitali sababu hawakuwa na bima!!Namwongelea Mwanaume anayehangaisha KICHWA usiku na mchana kutafuta riziki ya familia na hapumziki, nini kinachomwondoa mapema?
Namwongelea Mwanaume anayevuja JASHO, anamhudumia mkewe na hawara na machangudoa na anamudu wote kuwapa mahitaji yao, kwanini anawahi kuchomoka duniani mapema?
Haya ndio majibu yako.
Kila Jambo kwa kiasi!
Mafanikio yanasema pia, 'mwanaume atamuacha Baba na Mama yake na kuambatana na mkewe'.
Ilitakuwa wazazi wawe wamejipanga tangu ujana wao na wasiwe tegenezi kwa watoto. Kuna hulka ya mtu kuzaa ili hapo baada apate wa kumtunza, ibadilike.
Mwanao atafariki, lawama mtamtupia mkewe', wakati wazazi mlibweteka na yeye kuelemewa.
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Umenena vyema ndugu,Sababu kubwa ya wanaume wengi kufa mapema ni kwa sababu ya kutumika kupita kiasi, mwanaume anatakiwa ahangaike kuilisha familia iridhike, bado miongoni mwao, yupo mmoja nae akisha kula akashiba anatakiwa arishishww tena kwa namna yake ya kipekee, haya yote yanachangia kuidhoofisha afya ya mwanaume, inakuwa rahisi kushambuliwa na magonjwa na hatimaye kifo kumuondoa mapema duniani.
Mbaya zaidi, utakuta mwanaume huyo huyo, bado ana wanawake wengine mitaani, wakati yeye akidhani ni starehe, kumbe kimsingi anajichimbia zaidi kaburi litakalowahi kumuondoa haraka duniani, kwani hizo nyumba ndogo nazo huitaji matunzo na kuridhishwa kibaiolojia na mwanaume yule yule mwenye mke na watoto nyumbani.
Logic,, kuishi miaka mingi siyo ishu, ishu ni kwamba kuishi huko Kuna heri na baraka!?Umeandika vyema.
Jambo la msingi nililoliona kwenye bandiko lako ni vijana/wanaume kuwakumbuka wazazi na kuwahudumia[emoji106][emoji106]
Ila kufa mapema hilo bado ni fumbo, kuna jamaa yangu alikuwa rafiki haswa, alikuwa anawajali haswa wazazi wake....cha kusikitisha jamaa alikufa akiwa mdogo kabisa(42yrs Old) na alipata ajali alipokuwa njiani kutoka Dar kwenda kumchukua mama yake mgonjwa kumleta mjini kwa maribabu.
All n all itoshe tu kusema wanaume kufa mapema inaweza kuwa ni tunzo ya kazi nzuri aliyofanya...maana maisha marefu kwa mwanaume inamaanisha mateso zaidi.
ieleweke marehemu hajui chochote, aliyeishi muda mfupi na aliyeishi miaka 120 wote ni sawa baada ya kufa.
Bado hujaeleka au unataka kuleta taflani ili unitoe nje ya swali/reply yangu.(Mwanzo 2:24) na (Marko 10:6-8) says.
Mwanaume atamwacha babaye na mamaye na kuambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
Kwamba kwako ulivyoelewa, kuwaacha baba na mamako ndo kutowahudumia, kwamba wapambane na Hali zao?
Mbona hujiulizi kwann mwanamke anachukua Mali zenu na kuwatunza wazazi wake?
Naamini hujalishwa kanyama maarufu Kwa Jina " Limbwata".
HOJA tayari IPO mezani,nimesoma na kuandika maandiko uloquote,Bado hujaeleka au unataka kuleta taflani ili unitoe nje ya swali/reply yangu.
Sijasema wala kuandika popote kuacha wazazi wako na kuambatana na mkeo ni go and never come back, hiyo ni yako.
Narudia, soma hapo uelewe alafu njoo tufanye mjadala, usipanic kama ulivyonijibu hapo kijana 😄!.
Umeandika kitu Cha maana Sana.kuwasaidia wazazi ni jambo jema Sana.INTRODUCTON.
Salaam, Shalom!!
Leo naandika mada hii nikiwa na Sina furaha sababu Mimi Rabbon pia ni Mwanaume.
Wanaume tulipoambiwa tuishi Kwa akili na wake zetu, au na wanawake ,Kuna Siri imejificha nyuma, ipi hiyo?
Under Ceteris peribus, while other factors remain constant,
Ni Kweli, wanaume wengi huoa wake wanaowazidi umri hivyo wengi wanapotangulia kufariki ndugu na jamaa hutoa sababu hii, lakini Si Kweli, IPO sababu zaidi ya hiyo.
Wanawake ujiwauliza watakwambia wti Kwa Sababu wao hawatunzi jambo moyoni na hulia machozi sana ndo sababu ya kuishi maisha marefu.
Wanasayansi wengine hudai kuwa sababu wanawake wao Wana matiti ambayo hutunza maziwa ambayo ni chakula kinachowapa kusurvive muda mrefu, hapo ni Kweli Kwa kiasi fulani, bt si sababu kuu.
Wanaume wenzangu tujiulize inakuwaje mwanamke anazaa Kwa uchungu hadi watoto 14, na wote tunajua shughuli pevu ya kuzaa mtoto ilivyo, lakini mwanamke huyo huyo utaondoka na kumwacha duniani, nini sababu? Tatizo ni LAANA hii nitakayoiongelea leo.
Dunia nzima imeweka mfumo thabiti kwamba Mali anazomiliki mwanamke ni zake pekeake, lakini Mali anazomiliki mwanamume ni za wote, Kuna kitu hapo kimejificha ambacho wanaume Bado hawajakijua kinachopelekea kuchomoka duniani mapema.
Namwongelea Mwanaume anayehangaisha KICHWA usiku na mchana kutafuta riziki ya familia na hapumziki, nini kinachomwondoa mapema?
Namwongelea Mwanaume anayevuja JASHO, anamhudumia mkewe na hawara na machangudoa na anamudu wote kuwapa mahitaji yao, kwanini anawahi kuchomoka duniani mapema?
Namwongelea Mwanaume aliyeokoka mwenye baba na mama wa kiroho, anawatunza wazazi wake wa kiroho, lakini Bado anawahi kuchomoka duniani kabla ya siku zake, nini chanzo?
Naongea na Mwanaume unayeacha Kodi ya meza Kila siku, unajibana Ili familia yako isonge, kwanini bado huna maisha marefu, ipi sababu, ni hii:
LAANA YA WAZAZI NI CHANZO KIKUU CHA WANAUME WENGI KUFA MAPEMA KABLA YA WAKATI WAO.
Wanaume wengi tumelisahau hili.
Kwani hamkusoma maandiko katika Amri ya Mungu isemayo,
"Waheshimu baba Yako na mama Yako, Ili siku zako zipate kuwa nyingi katika Nchi upewayo na BWANA Mungu wako"
Pia hamkusoma kuwa,
" Baba na mama (Wazazi) ni miungu wa Dunia hii?
Watu wengi hasa vijana na wanaume huangaika sana na hukumbwa na mabalaa na kufungwa vipato vyao duniani bila kujua Chanzo ni LAANA ya wazazi!!
Wakati ukiacha Kodi ya meza Kwa mke wako, atahakikisha anatenga kiasi kidogo kidogo Kila siku, Kisha hukituma Kwa mama yake mzazi.
Mzazi wa mke wako ambaye mara nyingi ni mwanamke sababu mzazi wa kiume mara nyingi anakuwa ameshaiaga Dunia, mzazi yule wa kike, huipokea sadaka Ile na kumwombea baraka aliyeitoa ambaye ni mwanae wa kike, baraka hizo hazitakufikia wewe Mwanaume sababu nawe unao wazazi wako kijijini hawana hata mia mbovu[emoji24]
Wazazi wako ewe Mwanaume wanaweza kata hata mwaka hujawatumia chochote kuwatunza, wanaishi nyumba chakavu wanalala chini, hata godoro hamna, wewe umehangaikia familia Yako wanakula na kulala vizuri, unamsahau baba na mama Yako!!
Ikitokea umeenda kijijini, utamwita pembeni mama na kumshikisha bulungutu la pesa, Kisha baba unampa pesa kiduchu ilhali ndo anajukumu kutunza familia.
Wazazi wako wanaposikia umenunua gari Kwa ajili ya mkeo kutembelea na wakisikia umejenga ukweni kwa mkeo, kinachotokea huwa wanahuzunika[emoji24]
Mama anashika tumbo na kumlilia Mungu, baba hushika kiuno na kulia, Kila Mmoja sirini Kwa wakati wake.
Ugumu wa maisha wanaume wengi tunaoupitia mijini, chanzo kikuu ni LAANA ya wazazi.
Mwaka mzima unaisha hujapeleka Kwa wazazi hata mia mbovu, lakini unapata pesa ya kuhonga MAKAHABA. LAANA inakunyemelea......
Unapomuhonga kahaba, yeye huchukua pesa hiyo na kutumia pesa kiasi Kwa wazazi wake, Kwa maana ingine, pesa yako inatumika kuwa baraka kwa mwanamke while wewe hupati kiasi cha kuchota baraka za wazazi walokuzaa.
Na wanawake ni Wachache sana ambao huwakumbusha waume zao kuwatumia chochote wazazi wa waume zao.
Mwanaume mwenzangu, hasa vijana ambao hamjaoa bado, msisubiri kupata KICHAA kitokanacho na LAANA ya wazazi wanapohuzunika Kwa ajili yetu. Msisubiri kupelekwa kijijini mkiwa katika majeneza.
SOLUTION.
1. Hakikisha unatunza Kwa Siri chochote kitu, unatumia Kwa wazazi wako kimya kimya, sababu najua wake zenu wengi Wana gubu na wasingependa mbarikiwe.
2. Pata muda wa kuongea nao hata Kwa simu na uwashirikishe changamoto unazopitia, ukijua kuwa hao ni miungu wa Dunia hii.
Wazazi wanapokuhuzunikia Kwa kutowajali wazazi, humpa KIBALI shetani kukushambulia Kwa mapigo na LAANA mbalimbali!!
3. Tafuta muda ukatubu, wajengee wazazi wako nyumba nzuri, watumie zawadi, nenda kusali lakini jua miungu mwenye FUNGUO za maisha Yako duniani ni wazazi,
4. Ishi na mke wako Kwa Akili sana, hakikisha unamzidi akili na Maarifa.
Ningeongea zaidi bt inatosha Kwa sasa!!!
Karibuni Kwa shuhuda na MAONI [emoji120].
Wazazi wengi Kwa Upendo walionao, hujinyima mambo Yao Kwa ajili ya watoto wao.Umeandika kitu Cha maana Sana.kuwasaidia wazazi ni jambo jema Sana.
Lakin Mimi Nina mtazamo tofauti na wewe. Tumerithi mfumo wa maisha ambao ni mbaya Sana. Kwamba kujengea wazazi na kuwasaidia ni jambo la lazima. Lakin tujiulize wazazi wetu walitumia vipi ujana wao katika maisha. Na walipitia ujana kama wewe Leo unavyoupitia. Ujana wako umeufanyia Nini?
Watu wengi hutumia ujana wao vibaya Sana bila kuwekeza chochote wakisubiri watoto waje wawasaidie huku wakati mwingine hawawapi sapoti yoyote ile. Ila lawama zinakuwa nyingi sana Kwa watoto wao.
Je watu wengi hutumiaje ujana wao. Kama watu tutatumia ujana wetu vizur hizi lawama kamwe mzazi hawezi malaumu Mtoto. Lakn kama ulitumia ujana wako vibaya utawalaumu watoto tu
Hajaongea na nyie majobuless!Sisi majobless ambao bado tupo nyumbani hata hela ya kuhonga Hatuna tuna comment wapi ...[emoji23]