Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

Kama Mama mzazi Alisha tangulia mbele ya Haki inakuwaje?? Utamwamini Nani??

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama una ela nyingi Unajenga kituo cha watoto yatima unaweka watoto wote wenye huitaji maalum af mali zako zote unaandikisha kwenye icho kituo af na wewe jinalako ndo linatambulika kama msimamizi mkuu wa kituo hata usipokuwepo maana kituo ni mali ya jamii sio jambo la kibiashara kwaiyo mahakama haitoweza kukigusa na mshahara wako ukingia umo unahesabika kama charity ambayo ndo iyo iyo unatumia wewe binafsi na watoto kwaiyo utapata baraka pia mali zako zitakua salama.

Cc ni mawazo tuu.
 

Sasa watoto si ndo mama yao[emoji16] ukimpa mtoto ni sawa imempa maza ake, kwanza unahakika gani kua ni wako[emoji16]

chamsingi ni kukaa kiarabu arabu kama kina Mo tuu yan mali hua ni za familia ya mwanaume kwa mikabata maalum mwanamke anaingia anaenjoy akizingua kutoka unatoka kama ulivoingia na ukikaa unakaa kwa adabu[emoji16]
 
Fanyeni mnaloona ni sawa kwa maisha yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoto wenyewe usikute sio wanao
 

Attachments

  • Screenshot_20230325-164316_WhatsApp.jpg
    31.7 KB · Views: 1
Itasaidia mwanamke akiolewa ajue amefata mapenz sio mali
 
Humu ndani wanaume wapi 50 tu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Mapenzi ayapo kwa saiz tunaish kwa timing na ndio maana kama huna pesa mahusiano utayaskia kwenye bomba saiz ukimtongoza mwanamke kabla ajakupa mbususu ana hakikisha ameshakukamua vya kutosha
Unaokutana nao wewe. Seems unawaokota malaya wewe[emoji23]
 
Why jamaa yako alikuwa fala?
 
Na vipi siku mke anapotea watoto wataishi vipi? Naye mke aandike majina ya watoto kwenye mali zake, siyo majina yake.
 
Ukiona hivyo Kila anaelisaport Hilo jambo limemkuta kiaina yake mkuu si lazima limkute Moja kwa Moja wengine wanaona kwa rafiki zao , mwingine ktk familia na wengine limewakuta wao wenyewe watu Wana mengi inshort saivi Kila mtu haamini mtu ananiamini yeye tu ndo hawezi kujiibia

Ila kinachomshinda ni nature ni lazima tuishi nao hauwezi kuruka hiyo kamba ni ngumu hivyo basi kama ni lazima tuishi nao inabidi tuishi kwa akili ,si wote ni wezi wapo wife materials lakini utajuaje huyu ni mwema wale waliooa wanawake wema wamshukuru Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…