Canabian Rasta
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 775
- 1,745
Kama Mama mzazi Alisha tangulia mbele ya Haki inakuwaje?? Utamwamini Nani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una ela nyingi Unajenga kituo cha watoto yatima unaweka watoto wote wenye huitaji maalum af mali zako zote unaandikisha kwenye icho kituo af na wewe jinalako ndo linatambulika kama msimamizi mkuu wa kituo hata usipokuwepo maana kituo ni mali ya jamii sio jambo la kibiashara kwaiyo mahakama haitoweza kukigusa na mshahara wako ukingia umo unahesabika kama charity ambayo ndo iyo iyo unatumia wewe binafsi na watoto kwaiyo utapata baraka pia mali zako zitakua salama.
Cc ni mawazo tuu.