Wanaume wengi, kushangilia swala la Hakimi ni hatari kwa future ya ndoa na mahusiano

Mala 1000 mali ipotelee kwa ndugu wa damu.. kuliko mtu mnekutana nae ukubwani.. anatapanya mali na wahuni wengine.. Wanawake wamekuwa wauaji sana kama kwa waune kwenye eneo la mali nina jamaa yangu alipigwa na kitu kizito.. hadi alikufa kwa msongo wa mawazo na kwa mateso makali.. mambo haya haya ya mali.. mwanamke alibeba karibia kila kitu, na watoto jamaa akapigwa biti kisheria kuwaona.. ohooo mkuu hujakutana na visaaa vya kutosha.. Hakim ni Mungu tu alimtonya kwa hisia
 
Mimi binafsi mali zangu au vitu vyangu nikitaka kununua mama lazima ajue na nimemwandika yeye kwenye vitu vyangu vingi sana nimejifunza kwa mjomba wangu

Mwanamke anaweza kukua ili abaki na mali hasa wamachame
Mwanamke hatakiwa kujua mvt zako , kama kujua ajue 3% tu.. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mengine asijue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…