Wanaume wengi siku hizi tumejanjaruka, nikikutongoza leo, kesho ukaniomba hela, ni mbio, hakuna kutuma hela wala kubembeleza

Asee...., dah...., yaaan....., kwakwel....., duh...., so powa ujue....., imemakinika sana hii...., tuish umo......, ivo yaan...
 
Uzuri wa nnje watu wanatembea na chuma hata ukimkula ukimwacha hana hasara ni akuue au akufungulie kesi ya kumuahidi uongo…

Hatuombagi hela bure bure tunajua nyie wahuni mnatupotezea muda hamtuoii so tusikose yote
 
Tunaoa bhna sema tu unakuta hatuendani ,tunashindwana mapema kabla ya kufika kwenye kuoana.
 
Tafuta hela zionekane, nunua gari zuri, vaa vizuri, jenga nyumba nzuri walingishie.

Watavutika kuja kwako wakiamini watazivuna, cha kufanya lipia lodge wanunulie msosi na kinywaji kula utelezi asbh mpe nauli umemaliza.

Mkuu hujasikia zile tetesi Mo alikula Jicho la Moobeeeeto kisha akampa laki moja.

Matajiri wanaotafuta hela kwa jasho hawazitapanyi ovyo kwa wanawake.
 
Uzuri wa nnje watu wanatembea na chuma hata ukimkula ukimwacha hana hasara ni akuue au akufungulie kesi ya kumuahidi uongo…

Hatuombagi hela bure bure tunajua nyie wahuni mnatupotezea muda hamtuoii so tusikose yote
Mfano nimekutongoza leo, kesho unaniomba hela, ndani ya siku moja umejuaje kuwa mimi sitakuoa na nitakupotezea muda? kadogo2
 
Hivi zingekuwepo za bure mngekuwa mnalalamika humu kila siku mnaombwa pesa?? Hata house girl ukimuomba lazima akwambie umsaidie kazi zake itakuwa mdada anayejihudumia akubariki bure bure πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
acheni kutufanyia hivo wadada tutakufa na nyeto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…