Wanaume wengi siku hizi tumejanjaruka, nikikutongoza leo, kesho ukaniomba hela, ni mbio, hakuna kutuma hela wala kubembeleza

Wanaume wengi siku hizi tumejanjaruka, nikikutongoza leo, kesho ukaniomba hela, ni mbio, hakuna kutuma hela wala kubembeleza

Mfano nimekutongoza leo, kesho unaniomba hela, ndani ya siku moja umejuaje kuwa mimi sitakuoa na nitakupotezea muda? kadogo2

Ukiona unaombwa hela mapema jua hupendwi ni Gia ya kukukataa

Tunavutaga hata miezi 3 inategemeana na ntu na ntu mimi nilishawah kuwa na lijitu halijawai ata kunipa vocha ya jero akitaka muonane kama nauli ni elfu 30 atatuma 35 mbwa yule nilikuwa nampenda nikawa simuombi hela ananilisha mihogo na mayai na mikate utazani Mimi mwanaisrael nipo jangwani

Sasa hivi naomba hela nakupimia miez 6 ikiisha hujawai nipa mbio
 
Back
Top Bottom