Yofav
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 4,236
- 7,583
mnakutana na msiowapenda tu, mechi haiombwi kwa wanaopendana.Na nyie mnatongoza leo kesho mnaomba mechi kwanini msiombwe pesa😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnakutana na msiowapenda tu, mechi haiombwi kwa wanaopendana.Na nyie mnatongoza leo kesho mnaomba mechi kwanini msiombwe pesa😅
Exactlymnakutana na msiowapenda tu, mechi haiombwi kwa wanaopendana.
[emoji101]Tunaoa bhna sema tu unakuta hatuendani ,tunashindwana mapema kabla ya kufika kwenye kuoana.
Hii mara nyingi inatokea kama mwanaume hajamvutia mwanamke husika. Mwanamke akikukubali/akikuelewa anatulia tuli hata hela hutaona anaomba mapema.Mfano nimekutongoza leo, kesho unaniomba hela, ndani ya siku moja umejuaje kuwa mimi sitakuoa na nitakupotezea muda? kadogo2
🙄
😂😂😂 Uko poa?
Poa kabisa ,tunaoa sema dada kakata tamaa kabisa😁😂😂😂 Uko poa?
Wewe si ndio timu kataa ndoa upo kujitetea hapa.Poa kabisa ,tunaoa sema dada kakata tamaa kabisa😁
Ni lifestyle la siku hizi, ukijifanya mstaarabu eti hutongozi ni umama pia. Do it quicklyNa nyie mnatongoza leo kesho mnaomba mechi kwanini msiombwe pesa😅
Komando umeamua kusarendaToa pesa, upate utelezi la sivyo nyeto itakuhusu
🤣🤣 kwani ndoa ni kuoa?Wewe si ndio timu kataa ndoa upo kujitetea hapa.
Mkongo utahusika watu wanafidia maokoto yao kitu kinapigwa mpaka cheche,Sijajua future ya mahusiano inaelekea wapi.
Kumbe ni nini?🤣🤣 kwani ndoa ni kuoa?
ah wapi, kila siku niko Hadimu, Pemba: mwendo wa kukwea tuKomando umeamua kusarenda
🤔🤔Kumbe ni nini?
Ewaaaah!! Mbwa kala mbwa 😂😂😂Hiyo kitaalamu tunaiita both team to score
Kwacha ngap uko ??Nikiwa hapa Namibia kuchakqta ni makubaliano hakuna blabla, halafu wana vishundu hatari
Yote hayo et kwasababu ya papuchi yake selfishWana mambo ya ajabu sana demu anakuomba hela ya chama sasa kama hana uwezo wa kuchanga alijiunga ili iweje?
Mkuu ushakamatia mke huko Bahrain nn???Ukisema Dunia nzima unatukosea wa nje, hizo njaa ni za nchi masikini na watu masikini. Kama unanzungumzia USA basi labda ni baadhi ya Latino au weusi na hata matapeli
Lakini kuna nchi zingine mwanamke hawezi kukuletea shida zake baada ya kumtongoza ni aibu kubwa sana bora amuulize mama au baba yake.
Huku nilipo una rafiki au mpenzi atalipa chake na wengi wao wanafanya kazi za kukidhi mahitaji yao yote. Hiyo kauli ya duniani kote sio kweli
Mahusiano ni hela tuMkongo utahusika watu wanafidia maokoto yao kitu kinapigwa mpaka cheche,