Ukiona unaombwa hela mapema jua hupendwi ni Gia ya kukukataa
Tunavutaga hata miezi 3 inategemeana na ntu na ntu mimi nilishawah kuwa na lijitu halijawai ata kunipa vocha ya jero akitaka muonane kama nauli ni elfu 30 atatuma 35 mbwa yule nilikuwa nampenda nikawa simuombi hela ananilisha mihogo na mayai na mikate utazani Mimi mwanaisrael nipo jangwani
Sasa hivi naomba hela nakupimia miez 6 ikiisha hujawai nipa mbio