Wanaume wengi siku hizi wakiombwa msaada wa kipesa na wadada, wanahisi wanatapeliwa

ww nenda kwa bibi yake au mama yake waeleze kuwa nimekuja kutoa barua ya kumchumbia bint yenu
akikubali niite mbwa huyo yupo hapo kwako kwasabb ya kutatua shida ndogondogo ambazo hazita muisha kamwe
Kweli kabisa mkuu na hapa anatengeneza mazingira ya kunipiga kizinga coz jana aliniambia anaomba 60k nikampanga jumamosi so hapo anaanda mazingira
 
Attachments

  • Screenshot_20250207-103857.jpg
    112.8 KB · Views: 3
ww nenda kwa bibi yake au mama yake waeleze kuwa nimekuja kutoa barua ya kumchumbia bint yenu
akikubali niite mbwa huyo yupo hapo kwako kwasabb ya kutatua shida ndogondogo ambazo hazita muisha kamwe
Bora hata awe anakuomba omba hela, na anakua amevutiwa na wewe kimapenzi, unakuta hata hisia na wewe hana ila hela anataka Rhz4567
 
Bora hata awe anakuomba omba hela, na anakua amevutiwa na wewe kimapenzi, unakuta hata hisia na wewe hana ila hela anataka Rhz4567
Daah na hiyo situation ndio nadhani mimi naipitia coz hata akikuta chating za madem wengine naona hajali sana. Lengo lake utimize tu mahitaji yake
 
hahahahahhaha
 
Huwa najiuliza mwanaume kama upo dar unapataje stress za mapenzi..yaan k zipo nyingi sanaaaaaa yaan nikipita mpaka huwa sirudiii maana ziko nyingiii na zote pisi....tembelea sehemu za starehe utapata k kama zote tena kwa bei chee.....jana nimembato pisi moja matata sana kwa 20k tu...cha muhimu vaa smart nukia unyunyu kidogo unaopoa,tatizo lenu mnahisi hao wa mitaan ndo wametulia kumbe wote malayaa tu
 
Niliwahi kuwa nae wa hivi
Slay queen mara wife material kiufupi yuko kotekote, nikaja gundua yani anaenda na biti ya mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…