BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
Hii code wengi hawaielewi,,that's why msela anaona kama jamaa yake kazingua..ila jamaa kalichambua kwa akili hilo swala ndo maana akasema vile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuNi zaidi ya pisi kali mkuu imekaa kati kwa kati mguu mguu, mpaja mpaja, aki smile kama jua limechomoza. Upstairs yko vizuri unaweza kuongea naye mkaelewana. Uafrika fulani anao, umagharibi fulani anao. Ana kike Wafaransa wanakiita "savoir faire".
Ila it wasn't to be tu.
Hua nakufatilia mafundisho yako uko sahihi bwana kuhani, wanawake hawanaga mapenzi nawanaume bali wanume ndio walionamapenzi kwa wanawake,wanawake jukumu lao nikutii.Ni mwanaume mjinga anayetafutwa kupendwa na Mwanamke.
Wanawake hawanaga Mapenzi ya Kweli.
Sijui mnataka nirudie Jambo hili mpaka Lini.
Wakina Diamond wapo Sahihi kabisa.
Kufanya generalization ni upungufu wa IQ. Yaani mtu anajiachia kuvaa nguo chafu, kunuka mwili na kinywa ndio anajiamini kwenye mahusiano? Usizifanye weaknesses zako za kutokuwa smart kukupa alama kwenye mahusiano.Hello,
Nina washkaji zangu ambao kwa level za kibongo bongo kwenye swala la pesa unaweza sema wametoboa kiasi, wanaendesha magari mazuri, wana biashara kubwa kiasi, wana umri mdogo, siku moja tulikaa mahali, mwamba alitumiwa sms na mpenzi wake, mdada alituma sms ya kuomba kuzaa na mmoja wa washkaji zangu, huyo jamaa mbele yetu akacheka na kutuambia kwa sauti huku akituonesha sms, huyu mdada anachotaka ni matunzo.. kwa vile anahisi nina hela nyingi.
Kuna video moja Diamond alijirekodi juzi akiwa kwenye mavazi ya kimaskini, akawachana wadada wanaojifanya kumpenda, akawauliza wangemkuta kwenye hali ile wangempenda?? Diamond Akaongeza kuwa sura lake libaya lakini anaitwa handsome boy.
Harmonize amechorwa tattoo na mdada, lakini harmonize akasema sahivi hamwamini mdada yoyote.
Imefika mahali wanaume tumejidharau kiasi hicho? Kwamba unajiona wewe ni mbaya kiasi cha kwamba usipokuwa na hela hamna mdada hata mmoja atavutiwa na wewe Physically kama ulivyo? Ukiwa na hela Kila mdada akikuonesha Love interest unahisi ni mdangaji/ golddigger/ amekuja kwako kukuchuna hela/ akufilisi akupige kitu kizito hlf asepe, vipi kama unapoteza wife material bila kujua?
Wanawake wote ndivyo walivyo! Huoni ukiwa unachumbia na anakuletea K kwa mbinde, atasema kwanini tusioane ili uwe nayo hii K! Kila wakati unaila utakavyo. Ukishamuoa waokozi ni machangudoa.Ni zaidi ya pisi kali mkuu imekaa kati kwa kati mguu mguu, mpaja mpaja, aki smile kama jua limechomoza. Upstairs yko vizuri unaweza kuongea naye mkaelewana. Uafrika fulani anao, umagharibi fulani anao. Ana kike Wafaransa wanakiita "savoir faire".
Ila it wasn't to be tu.
Hello,
Nina washkaji zangu ambao kwa level za kibongo bongo kwenye swala la pesa unaweza sema wametoboa kiasi, wanaendesha magari mazuri, wana biashara kubwa kiasi, wana umri mdogo, siku moja tulikaa mahali, mwamba alitumiwa sms na mpenzi wake, mdada alituma sms ya kuomba kuzaa na mmoja wa washkaji zangu, huyo jamaa mbele yetu akacheka na kutuambia kwa sauti huku akituonesha sms, huyu mdada anachotaka ni matunzo.. kwa vile anahisi nina hela nyingi.
Kuna video moja Diamond alijirekodi juzi akiwa kwenye mavazi ya kimaskini, akawachana wadada wanaojifanya kumpenda, akawauliza wangemkuta kwenye hali ile wangempenda?? Diamond Akaongeza kuwa sura lake libaya lakini anaitwa handsome boy.
Harmonize amechorwa tattoo na mdada, lakini harmonize akasema sahivi hamwamini mdada yoyote.
Imefika mahali wanaume tumejidharau kiasi hicho? Kwamba unajiona wewe ni mbaya kiasi cha kwamba usipokuwa na hela hamna mdada hata mmoja atavutiwa na wewe Physically kama ulivyo? Ukiwa na hela Kila mdada akikuonesha Love interest unahisi ni mdangaji/ golddigger/ amekuja kwako kukuchuna hela/ akufilisi akupige kitu kizito hlf asepe, vipi kama unapoteza wife material bila kujua?
Hua nakufatilia mafundisho yako uko sahihi bwana kuhani, wanawake hawanaga mapenzi nawanaume bali wanume ndio walionamapenzi kwa wanawake,wanawake jukumu lao nikutii.
Sure. Kujithadau kumezidi.Hello,
Nina washkaji zangu ambao kwa level za kibongo bongo kwenye swala la pesa unaweza sema wametoboa kiasi, wanaendesha magari mazuri, wana biashara kubwa kiasi, wana umri mdogo, siku moja tulikaa mahali, mwamba alitumiwa sms na mpenzi wake, mdada alituma sms ya kuomba kuzaa na mmoja wa washkaji zangu, huyo jamaa mbele yetu akacheka na kutuambia kwa sauti huku akituonesha sms, huyu mdada anachotaka ni matunzo.. kwa vile anahisi nina hela nyingi.
Kuna video moja Diamond alijirekodi juzi akiwa kwenye mavazi ya kimaskini, akawachana wadada wanaojifanya kumpenda, akawauliza wangemkuta kwenye hali ile wangempenda?? Diamond Akaongeza kuwa sura lake libaya lakini anaitwa handsome boy.
Harmonize amechorwa tattoo na mdada, lakini harmonize akasema sahivi hamwamini mdada yoyote.
Imefika mahali wanaume tumejidharau kiasi hicho? Kwamba unajiona wewe ni mbaya kiasi cha kwamba usipokuwa na hela hamna mdada hata mmoja atavutiwa na wewe Physically kama ulivyo? Ukiwa na hela Kila mdada akikuonesha Love interest unahisi ni mdangaji/ golddigger/ amekuja kwako kukuchuna hela/ akufilisi akupige kitu kizito hlf asepe, vipi kama unapoteza wife material bila kujua?
Hahaa,Wanawake wote ndivyo walivyo! Huoni ukiwa unachumbia na anakuletea K kwa mbinde, atasema kwanini tusioane ili uwe nayo hii K! Kila wakati unaila utakavyo. Ukishamuoa waokozi ni machangudoa.
Hilo sio suluhisho bali anakuongezea mzigo tu wa maishaHahaa,
Akikuletea nyodo si unamuongezea Bi Mdogo tu?
Mkuu,Hilo sio suluhisho bali anakuongezea mzigo tu wa maisha
Hapo ametania kiumeni.🤔....Sasa mwanaume anawezaje kujiamini wakati mezani ameagiza chips mayai, chicken wings na mkononi ameshikilia savannah...😜
Utaoa wangapi?Hahaa,
Akikuletea nyodo si unamuongezea Bi Mdogo tu?
Kuweka chura kama kigezo cha kuoa ni utoto.Mkuu,
It was "with a light touch".
Unaweza kuweka zulia dunia nzima ili mguu wako usikanyage ardhi, au unaweza kuamua kuvaa kiatu tu.
Kujitambua unataka nini, nani atakufaa katika unachotaka, na jinsi gani kumpata kwa tija ya juu kabisa ni mambo muhimu sana.
Tatizo watu wanaoa kwa kuangalia nani ana chura!
Wawili tu wanatosha, wa kwanza wa kujifunzia wa pili wa kumalizia.Utaoa wangapi?
Kuna mmoja aliniambia kama utani anataka kuzaa na mimi tu, apate mtoto mwenye akili kama zangu, hahitaji matunzo wala nini.
Nikafikiri utani, nikamjibu kiutani kwamba aandike mkataba wa kisheria kabisa ili mbele tusigeukane.
Nikajua hawezi kuandika mkataba.
Siku chache baadaye akarudi na mkataba mrefu, akanitumia na kuniambia mkataba wangu huu, ila wewe una ruhusa ya kuubadilisha unavyotaka!