Wanaume wengi "smart" wenye hela, hawajiamini kwenye mahusiano

Wanaume wengi "smart" wenye hela, hawajiamini kwenye mahusiano

Hio ndio kanuni mkuu mke wa kwanza haachwagi hata ukifanikiwa vp Wana Baraka zao.
kanuni nyoso, nshaivunja tiyari na zamani sana... sometime vidume tunatangulia mbele ya haki kuliko wao kwa kuendekeza kanuni kama hizi unakomaa na mi-stress ndani kisa kulinda legacy ya mke wa kwanza au sijui tumetoka mbali n. k, akiota mapembe na harekebishiki piga chini kwa ajili ya umri wako!
 
Back
Top Bottom