Wanaume wengi "smart" wenye hela, hawajiamini kwenye mahusiano

Of course utaona vitu vya ajabu, kwa sababu hujaishi maisha yangu.

Una udogo wa mawazo kiasi mambo ya kawaida unayafanya yaonekane ya ajabu.

Ukiwekewa ya ajabu utasema hii ni movie!
img_2_1681229302005.jpg
 
Sasa mkuu hapo wewe kimekuuma nini? Kila mtu na mawazo yake aonavyo.

Iko hivi, kila mtu ana interact na watu wa daraja lake. Mond alichokisema ni sawa kwa sababu watu anao interact nao ndio hao alio wazungumzia. Mond anaweza kupendwa tu na bint yeyote sinkwa kigezo cha lesa, ila kaa badhi yake hawezi mtaka binti huyo atataka wa hadhi yake ambao ndio hao wanataka matunzo ya 1m kwa wiki. Hivyo hivyo kwa hamo.

Sisi huku kitaa pia wapo mabinti wa hadhi zetu. Mabinti wa matunzo ya 50k kwa wiki. Hata huyo jamaa yako anayosema inaweza kuwa ni kweli kwa sababu, ya hadhi yake. Inawezeka na huyo dem ni wa matunzo ya 500k kwa wiki so, anajua kabisa akibeba mimba matunzo yatazidi. Hivyo jamaa anaona kama dem anataka kujifichia kwake.

Mind you, no free lunch
 
Hello,

Nina washkaji zangu ambao kwa level za kibongo bongo kwenye swala la pesa unaweza sema wametoboa kiasi, wanaendesha magari mazuri, wana biashara kubwa kiasi, wana umri mdogo, siku moja tulikaa mahali, mwamba alitumiwa sms na mpenzi wake, mdada alituma sms ya kuomba kuzaa na mmoja wa washkaji zangu, huyo jamaa mbele yetu akacheka na kutuambia kwa sauti huku akituonesha sms, huyu mdada anachotaka ni matunzo.. kwa vile anahisi nina hela nyingi.

Kuna video moja Diamond alijirekodi juzi akiwa kwenye mavazi ya kimaskini, akawachana wadada wanaojifanya kumpenda, akawauliza wangemkuta kwenye hali ile wangempenda?? Diamond Akaongeza kuwa sura lake libaya lakini anaitwa handsome boy.

Harmonize amechorwa tattoo na mdada, lakini harmonize akasema sahivi hamwamini mdada yoyote.

Imefika mahali wanaume tumejidharau kiasi hicho? Kwamba unajiona wewe ni mbaya kiasi cha kwamba usipokuwa na hela hamna mdada hata mmoja atavutiwa na wewe Physically kama ulivyo? Ukiwa na hela Kila mdada akikuonesha Love interest unahisi ni mdangaji/ golddigger/ amekuja kwako kukuchuna hela/ akufilisi akupige kitu kizito hlf asepe, vipi kama unapoteza wife material bila kujua?
Fafanua
 
Uhalisia usisahaulike
 
Ni smart, na wana hela (hizo ni Quality muhimu sana) unasema hawajiamini mwenyewe, that means : Mapenzi hakitakuwa kitu cha maana kama watu wenye hela na smart hawahangaiki nacho.
 
Wewe ndiye unarefusha mada kwa kuleta habari za kwamba hujaniamini.

Kwani mimi nilikwambia nataka uniamini?
Kwani lazima useme tukuamini au lah ndio mtu aseme hajakuamini ndgu?

Kitu kidogo kama hicho kwa hapa jf unakirefusha namna hiyo.
Namna gani Kiranga aisee unafeli wapi kama mgeni wa jf vile.!!
 
Kanini hoja ya kuamini ni muhimu mpaka ukaileta?

Kuna nani kakuomba umuamini?
Ina umuhimu sana kwa wasomaji wa comment yako.
Sio kila kitu cha kuamini na kama hujakiamini upo huru kutoa maoni na msimamo wako, haijalishi ni kitu cha namna gani, kwasababu kila mtu huchukulia jambo kwa uzito wa namna yake.

Nazuiwa kuandika sijakuamini?? Ni kosa kutokuamini ulichoandika?? Ama ni tatizo kuandika "sijakuamini"?
 
Wewe ndiye unaipa umuhimu hoja ya kuamini, ushaelewa hilo?

Imani si muhimu, muhimu ni ukweli.

Kwa sababu, kwenye imani, dunia nzimainaweza kuamini uongo, wakati ukweli umesimama pembeni peke yake hauaminiwi hata na mtu mmoja.

LNa hilo lisibadilishe uongo uwe ukweli na ukweli uwe uongo.

Sasa, kwa nini unashadadia imani, ikiwa imani mtu anaweza kuamini hata uongo?
 
Sasa kama shida ipo hapo kwenye imani, kuna tatizo mimi nisipoamini huo unaouita ukweli??
Au kuna vithibitisho umetoa ili kila asomae asipate shaka??
Nadhani uache kila mtu aamini aaminivyo kuhusu coment yako as long as wewe mwenyewe umeiweka kwa namna hiyo(atakae kuamini aamini na asietaka/atiae shaka basi ni juu yake).

Na ndio maana hujaweka msisitizo wowote kama wengi walivyofanya kwenye huu uzi.
 
Yani umeuliza maswali, halafu kabla ya kusikia majibu yangu ushatoa conclusion.

Una nia ya kusikia majibu yangu au hayo maswali yalikuwa ni rhetorical questions tu umeuliza bila kutaka majibu yangu unahubiri imani yako tu?
 
Back
Top Bottom