Wanaume wengi "smart" wenye hela, hawajiamini kwenye mahusiano

Hii code wengi hawaielewi,,that's why msela anaona kama jamaa yake kazingua..ila jamaa kalichambua kwa akili hilo swala ndo maana akasema vile.
 
Sawa mkuu
Oshey mr 💰
 
Ni mwanaume mjinga anayetafutwa kupendwa na Mwanamke.
Wanawake hawanaga Mapenzi ya Kweli.
Sijui mnataka nirudie Jambo hili mpaka Lini.

Wakina Diamond wapo Sahihi kabisa.
Hua nakufatilia mafundisho yako uko sahihi bwana kuhani, wanawake hawanaga mapenzi nawanaume bali wanume ndio walionamapenzi kwa wanawake,wanawake jukumu lao nikutii.
 
Kufanya generalization ni upungufu wa IQ. Yaani mtu anajiachia kuvaa nguo chafu, kunuka mwili na kinywa ndio anajiamini kwenye mahusiano? Usizifanye weaknesses zako za kutokuwa smart kukupa alama kwenye mahusiano.
 
Wanawake wote ndivyo walivyo! Huoni ukiwa unachumbia na anakuletea K kwa mbinde, atasema kwanini tusioane ili uwe nayo hii K! Kila wakati unaila utakavyo. Ukishamuoa waokozi ni machangudoa.
 

Ishi nao kwa akili mkuu....Mwanamme unalilia kupendwa?
 
Sure. Kujithadau kumezidi.
 
Wanawake wote ndivyo walivyo! Huoni ukiwa unachumbia na anakuletea K kwa mbinde, atasema kwanini tusioane ili uwe nayo hii K! Kila wakati unaila utakavyo. Ukishamuoa waokozi ni machangudoa.
Hahaa,

Akikuletea nyodo si unamuongezea Bi Mdogo tu?
 
Hilo sio suluhisho bali anakuongezea mzigo tu wa maisha
Mkuu,

It was "with a light touch".

Unaweza kuweka zulia dunia nzima ili mguu wako usikanyage ardhi, au unaweza kuamua kuvaa kiatu tu.

Kujitambua unataka nini, nani atakufaa katika unachotaka, na jinsi gani kumpata kwa tija ya juu kabisa ni mambo muhimu sana.

Tatizo watu wanaoa kwa kuangalia nani ana chura!
 
Kuweka chura kama kigezo cha kuoa ni utoto.
Labda awe na sifa zote muhimu chura iwe ni sifa ya ziada.
Tatizo wenye chura afrika 90% walipunguziwa mzigo kichwani ukawekwa nyuma.
Zero brain kabisa....walio wengi.

Wapo wachache sana wanaojielewa.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…