Wanaume wengi "smart" wenye hela, hawajiamini kwenye mahusiano

Ndo Maana wengi wenye hela
Kamwe hawawaachi wake zao waliowapenda wakiwa makapuku.

Akizidiwa sana ataongeza MKE mwngn
Ila sio kumuacha kabisa mkewe wa ujanani. No matter how ugly she look
Akili kubwa kabisa hii. Mwanamke aliyekuvulia chupi na kukupa bila kukupimia kipindi ukiwa huna kitu ni wa kumuheshimu sana.
 
Huwezi kumkandia.[emoji23][emoji23]
 
Wanawake wote ndivyo walivyo! Huoni ukiwa unachumbia na anakuletea K kwa mbinde, atasema kwanini tusioane ili uwe nayo hii K! Kila wakati unaila utakavyo. Ukishamuoa waokozi ni machangudoa.
Hahahah eto ukishamuoa waokozi ni machangudoa. Na kwa nini wanang'ng'ania sana ndoa??
 
Cc Ashraf hakimi aione hii kwenye jalada 🤣🤣🤣

Mwanamke sio ndugu yako
 
Huwezi kumkandia.[emoji23][emoji23]
Mkuu mpaka leo kuna kipindi napata kisebusebu na kiroho papo, ila nishafanya maamuzi magumu.

Unalijua guu la bia lililong'aang'aa? Lile Sheikh Kipozeo anasingizia "Neema za Allah"?

Ndiyo hilo sasa.
 
Hahahah eto ukishamuoa waokozi ni machangudoa. Na kwa nini wanang'ng'ania sana ndoa??
Mwanamke kusema neno mume wangu ni fulani, hiyo inatosha. Sisi kwetu mke ni yule unakula k yake pale unapoihitaji awe changu au mchepuko! Supply ya k ni muhimu kwa Mwanaume.

Status ya mke kwa Mwanaume ni sawa na ndugu yeyote kama Kaka, dada, mama au mtoto. Hivyo mtu kuwa mke wako haina umuhimu sana bali msupply k ni muhimu. Unaambiwa a man’s soul rest where he sex not where he sleeps
 
Mkuu mpaka leo kuna kipindi napata kisebusebu na kiroho papo, ila nishafanya maamuzi magumu.

Unalijua guu la bia lililong'aang'aa? Lile Sheikh Kipozeo anasingizia "Neema za Allah"?

Ndiyo hilo sasa.
Kiranga I guess you must be loose in maintaining sexual relationship because you must be using most of your time to find mysteries about universe, and reasoning! Kiranga please let me know, in TZ, are you from Northern, middle or Southern TZ?

Kiranga, huyo msichana yupo TZ kwa sasa?
 
Aisee ni kweli. Na ndiyo maana mwanaume anamuheshimu mno mwanamke anayempa uchi bila kumpimia.
 
Wewe jifunze kuandika vizuri kwanza kabla ya kuagua Kiranga yuko vipi.

I am all men rolled into one, like the '99 summer jam.
 
Yani umeuliza maswali, halafu kabla ya kusikia majibu yangu ushatoa conclusion.

Una nia ya kusikia majibu yangu au hayo maswali yalikuwa ni rhetorical questions tu umeuliza bila kutaka majibu yangu unahubiri imani yako tu?
Nadhani umeelewa.
 
Tatizo unadhani sana na hufanyi uhakiki.
Uhakiki wa uelewa wako upo kwako mwenyewe, mimi nadhani tu. Sina mamlaka ya wewe kukubali umeelewa ama lah kwasababu unaweza kudanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…