masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Wanaume wengi waislam wanaogopa na kuipinga waziwazi zinaa kuliko wakristo, wanaona bora aoe kuliko awe na michepuko kapu zima.
Nina marafiki zangu kadhaa nimepata kuwafaham kwa kiasi hivi karibuni, kwa kweli ni waaminifu kwa wake zao. Ni ngumu sana au ni mara chache kumkuta kijana wa kikirsto akiponda waziwazi zinaa haifai, ila ni kawaida kujigamba kuwa na mademu lukuki. Hata kwenye nyuzi huku yaani idadi ipo wazi kabisa.
Wanaume wa kiislam kwanza wanaheshimu sana wake zao na pia kuwatunza vizuri. Nafikiri pia dini huwa inasaidia, japo kuna asilimia kadhaa ya walioshika dini lakini washenzi. Mimi nazungumzia majority.