Wanaume wengi wa dini ya kiislamu ni waaminifu kwa wake zao

Wanaume wengi wa dini ya kiislamu ni waaminifu kwa wake zao

Uaminifu unategemea NTU na NTU...hakuna cha dini wala nini!siku iz watu wanapambania kombe kila kona!
 
Yeye Kaongelea Uaminifu/ Uadilifu, Hajaongelea Talaka wala kuongeza Mke.
Na Kasema Kuwa wanaihofia Zinaa.

Kuhusu Kuongeza mke wa Pili, Dini yake inamruhusu. Kutokuhudumia Hiyo ni Mada nyingine haina mahusiano na alichozungumza Mwanzisha Uzi.
Sasa kuongeza mke hovyo hovyo huku unaacha kuhudumia familia ya awali huo ndo uaminifu?
Sema wanaume WA kiislamu wanawahofia wake zao, hivyo hufanya mambo Yao Kwa staha, Sheria imemlinda sana mwanamke kwenye ndoa....mke usipomuhudumia, usipompa haki ya ndoa, akikufumani ana haki ya kudai talaka chap, na eda ikiisha anaolewa anakusahau bila kujali mlizaa watoto wangapi.....tofauti na wakristo wao hakuna kuachana, hata talaka ya kimahakama ni kipengele kuipata, na akiipata hawezi kuolewa tena kanisani.
Hivyo tungesema wanaume wa kiislamu wanaogopa wake zao Kwa kuhofia kuachwa, wakati upande mwingine wanajiachia tu wanajua hakuna talaka.
Kwa kuhitimisha, wanaume wote ni zafanana, hasa wanaume wa kiafrika.
 
Yeye Kaongelea Uaminifu/ Uadilifu, Hajaongelea Talaka wala kuongeza Mke.
Na Kasema Kuwa wanaihofia Zinaa.

Kuhusu Kuongeza mke wa Pili, Dini yake inamruhusu. Kutokuhudumia Hiyo ni Mada nyingine haina mahusiano na alichozungumza Mwanzisha. Uzi.
Wewe hapo nilipo-bold unaona ana hoja?

Kwamba wanaume wa kiislamu ni waaminifu kwa wake zao kuliko Wakristo Buddha na Pagans?
 
Hili ni kweli kabisa na kulinda uaminifu huwa tunaongeza wake kw idadi tuliyokubaliwa na Imani yetu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waislamu wa nchi hii hii ya Tanzania? Hawa talaka mkononi?
Hawa kesho yake tu unasikia kaongeza mke mwingine na kukuhudumia hakuhudumii?

Itakuwa umeota.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanao zungumziwa hapa ni wa Oman, hawa wa Vikindu haiwahusu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom