Wanaume wengi wa dini ya kiislamu ni waaminifu kwa wake zao

Wanaume wengi wa dini ya kiislamu ni waaminifu kwa wake zao

Hapa watu wanabisha tu...SI Bora mwanaume aliyeoa wake watatu na anahudumia watoto/mke kuliko Hawa wanaozaa hovyo na kutelekeza watoto ambao hata yule baba akifa watoto hawajulikanj wala nini..
Mi naona Bora sana ndoa za waisilamu na wake zao pia wanatunzwa sana
Ishu ni udalifu kwa namna yeyote ile.
 
Hapa watu wanabisha tu...SI Bora mwanaume aliyeoa wake watatu na anahudumia watoto/mke kuliko Hawa wanaozaa hovyo na kutelekeza watoto ambao hata yule baba akifa watoto hawajulikanj wala nini..
Mi naona Bora sana ndoa za waisilamu na wake zao pia wanatunzwa sana
Cc: Dkt Juma Mwaka, Haji S. Manara, Homonize Single Again, etc wengine ongezea
 
Mie mwanaume siangalii dini naangalia pesa tu na matunzo Huna matunzo pita hivi mtaongea huyu ni Malaya ila Kwangu imeisha hiyoo
Naona umeshajipa jina watakalo kuita ILA
kwa nini usiwazie kutafuta hela za kwako ili uwe na uhuru, una wazia kupewa hela za kuhongwa ambazo zinakukosesha uhuru?
 
Naona umeshajipa jina watakalo kuita ILA
kwa nini usiwazie kutafuta hela za kwako ili uwe na uhuru, una wazia kupewa hela za kuhongwa ambazo zinakukosesha uhuru?
Usijali hata ukimsaidia mwanaume Kwa kila kitu hili jina hulikosi kulisikia kabisa so hata nikiwa na zangu pesa lazima nipate mwanaume atakayenipa matunzo sio lazima uolewe na vichwa vigumuu
 
Kutunzwa kwa wanawake ni haki inayowahusu wale walio olewa na kukaa nyumbani ambapo kazi yao ni kuzaa na kuangalia familia (hii ni kwa mujibu wa maandiko) na sio kwa wale wanaofanya kazi na kuachia familia/watoto walelewe na house geli, hawa watachangia kipato chao kwenye malezi ya familia (wala sio kusaidia) na suala la kutunzwa ni kama haliwahusu.....
Huu ndio utumwa Sasa sio kuolewa ila jua hili nitampenda yule anayenijali
 
Wazungu husema; Jitahidi kupenda mtu anayekupenda na sio kupenda mtu kwa sababu ya mali zake; kwasabu mali zitaisha ila yeye atabaki.....hapo ndio utajua hujui.....
Huwezi kufungua moyo sehemu ambapo hujaliwi hakunaga mie ukinijali ndio utaona nakujali
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waislamu wa nchi hii hii ya Tanzania? Hawa talaka mkononi?
Hawa kesho yake tu unasikia kaongeza mke mwingine na kukuhudumia hakuhudumii?

Itakuwa umeota.
Yeye Kaongelea Uaminifu/ Uadilifu, Hajaongelea Talaka wala kuongeza Mke.
Na Kasema Kuwa wanaihofia Zinaa.

Kuhusu Kuongeza mke wa Pili, Dini yake inamruhusu. Kutokuhudumia Hiyo ni Mada nyingine haina mahusiano na alichozungumza Mwanzisha Uzi.
 
Wanaume wengi waislam wanaogopa na kuipinga waziwazi zinaa kuliko wakristo, wanaona bora aoe kuliko awe na michepuko kapu zima.

Nina marafiki zangu kadhaa nimepata kuwafaham kwa kiasi hivi karibuni, kwa kweli ni waaminifu kwa wake zao. Ni ngumu sana au ni mara chache kumkuta kijana wa kikirsto akiponda waziwazi zinaa haifai, ila ni kawaida kujigamba kuwa na mademu lukuki. Hata kwenye nyuzi huku yaani idadi ipo wazi kabisa.

Wanaume wa kiislam kwanza wanaheshimu sana wake zao na pia kuwatunza vizuri. Nafikiri pia dini huwa inasaidia, japo kuna asilimia kadhaa ya walioshika dini lakini washenzi. Mimi nazungumzia majority.
Waislam wapi Labda Hawa kina Dr Mwaka Au kina Haji manara au Ndo kina Mondi de platnmuz.
 
Yeye Kaongelea Uaminifu/ Uadilifu, Hajaongelea Talaka wala kuongeza Mke.
Na Kasema Kuwa wanaihofia Zinaa.

Kuhusu Kuongeza mke wa Pili, Dini yake inamruhusu. Kutokuhudumia Hiyo ni Mada nyingine haina mahusiano na alichozungumza Mwanzisha Uzi.
Wanapindiaha ukweli ndo maana nimeamua kuwaacha.
Nimeongelea asilimia kubwa ya waisilamu wanaume wanaikataa zinaa waziwaz tofauti na wakristo...wenyewe wanapindisha wakati ukweli wanaujua kabisa
 
Kwa kuwa umesema "wengi wao", sawa! Inaweza kuwa ukweli.
Lakini..............,Mh
 
Wanaume wengi waislam wanaogopa na kuipinga waziwazi zinaa kuliko wakristo, wanaona bora aoe kuliko awe na michepuko kapu zima.

Masai dada! Basi sawa[emoji23]
 
Nina business partner wangu majuzi tu mkewe mjamzito katoka kunipigia simu nimkanye rafiki yangu anazini na wanawake huko nje akimtangazia ni mjamzito so aache watamtia nuksi

Na ni mtu mzima zaidi yangu alishaniambia kuhusu huyo malaya wake mimi nimekaa kimya tu.watu research hawafanyi wanajiongelea tu.
Waislamu balaa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waislamu wa nchi hii hii ya Tanzania? Hawa talaka mkononi?
Hawa kesho yake tu unasikia kaongeza mke mwingine na kukuhudumia hakuhudumii?

Itakuwa umeota.
Kaota ana kojoa kweli huyu[emoji3]
 
Back
Top Bottom