Okrap
JF-Expert Member
- Jul 13, 2022
- 1,112
- 2,311
KabisaHana takwimu kajiongelea tu kuchangamsha jukwaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaHana takwimu kajiongelea tu kuchangamsha jukwaa
Wewe ndo hujaelewa....Mzee mbona hueleweki mara nenda Zanzibar, rudi kwa masai getin gari nin.. umeielewa point yake lakini!??
Soma tena uzi wake alafu tulia ukomenti vizur..
Kwa sababu hatuwaoni tena Picnic hapa makao mapya kwa ma bar maids wao ndio wamekuwa waaminifu😁Wanaume wengi waislam wanaogopa na kuipinga waziwazi zinaa kuliko wakristo, wanaona bora aoe kuliko awe na michepuko kapu zima.
Nina marafiki zangu kadhaa nimepata kuwafaham kwa kiasi hivi karibuni, kwa kweli ni waaminifu kwa wake zao. Ni ngumu sana au ni mara chache kumkuta kijana wa kikirsto akiponda waziwazi zinaa haifai, ila ni kawaida kujigamba kuwa na mademu lukuki. Hata kwenye nyuzi huku yaani idadi ipo wazi kabisa.
Wanaume wa kiislam kwanza wanaheshimu sana wake zao na pia kuwatunza vizuri. Nafikiri pia dini huwa inasaidia, japo kuna asilimia kadhaa ya walioshika dini lakini washenzi. Mimi nazungumzia majority.
Madam kuna waturuki na wataliano hawa unawaweka kundi lipi, wakiwa na pesa ni sawa na wamatumbi speed yaoInshort itakuwa Mungu wakati anatuumba waafrika ingredient ya ny*ege aliweka ya kutosha, dunia nzima sidhani Kama kuna wanaume wanapenda chini Kama waafrika.
Hamnaga hiyo kitu mzee,tena Lodge wanakuchana ukifika tuu unaambiwa kwa sasa hatupokei wageni wa kulala njoo kuanzia saa moja usiku. Nenda kwa mremi ukasikie nenda mamba.Zanzibar watu wanaliwa kwenye magari lodge huruhusiwi kuingia na mtu asie mke wako. Labda umpeleke kwenye hotel na ujipange maana bei zake zimechangamka.
Umewahi kuona Mwanamke wa Kiislam akichinja kuku ?Wanaume wengi waislam wanaogopa na kuipinga waziwazi zinaa kuliko wakristo, wanaona bora aoe kuliko awe na michepuko kapu zima.
Nina marafiki zangu kadhaa nimepata kuwafaham kwa kiasi hivi karibuni, kwa kweli ni waaminifu kwa wake zao. Ni ngumu sana au ni mara chache kumkuta kijana wa kikirsto akiponda waziwazi zinaa haifai, ila ni kawaida kujigamba kuwa na mademu lukuki. Hata kwenye nyuzi huku yaani idadi ipo wazi kabisa.
Wanaume wa kiislam kwanza wanaheshimu sana wake zao na pia kuwatunza vizuri. Nafikiri pia dini huwa inasaidia, japo kuna asilimia kadhaa ya walioshika dini lakini washenzi. Mimi nazungumzia majority.
Inshort itakuwa Mungu wakati anatuumba waafrika ingredient ya ny*ege aliweka ya kutosha, dunia nzima sidhani Kama kuna wanaume wanapenda chini Kama waafrika.
Hawatufikii Sisi blacks.Madam kuna waturuki na wataliano hawa unawaweka kundi lipi, wakiwa na pesa ni sawa na wamatumbi speed yao
Kumbe anaoa kisheria, punguza wivu mkuuAtuulize sie wanawake wa kiislamu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwanaume WA kiislamu mtamu akiwa hana hela, kosa apate hela....anajikuta mwarabu anataka aoe shombeshombe[emoji1787] na huna cha kumwambia anajificha kwenye kivuli cha dini.
Mama samia kwa cheo kile angekuwa mfuasi wa paulo ndoa na mumewe ingeshavunjika plus kuvaa vinguo mapaja waziUmewahi kuona Mwanamke wa Kiislam akichinja kuku ?
Jibu ni hapana?
Waislam wanaheshimu sana dini yao Kwa kiwango kikubwa .
Hata Wanawake wa Kiislam wengi ni waaminifu sana .
Mama Samia angekua ni mkristo wa aina ya wakristo waliopo Leo nadhani tungekoma. Wanawake na Wanaume wa Kikristo wanatetea taratibu za dini na mitume feki kuliko kutetea Biblia na kile kilichoandikwa.
Ni kweli hata wanaovuruga ndoa za watu wengi ni Wale wanaojiita Wakristo wengine ni wale wanaojiita mitume na manabii achilia mbali wachungaji wa mishahara .
Na pia Ukristo na wahubiri wengi hawasimamii Neno la Mungu zaidi ya maoni yao wenyewe na taratibu zao. Ndio maana Unakuta Mume akiwa Nabii basi Mke naye anakua mhubiri nyuma yake matokeo yake huduma inakua ni Mali ya Familia.
Wanawake wa Kikristo hawana Imani na waume zao hata kama ni maaskofu .Kifupi Ukristo wa Leo umebebe sana uzungu na kuweka pembeni Neno la kweli la Mungu.
Hata kwenye Biashara Waislam wengi ni waaminifu kuliko wakristo ndio maana Mabilionea wengi Tanzania ni Waislam na hata kwenye ajira hawaamini Wakristo kutokana na tamaa na wizi unaosababishwa na kupenda starehe. Wanaiba kwenye makampuni ili wapate fedha za ulevi na uzinzi na starehe nyonginezo. Tofauti na Waislam wanaridhika na kile wanachojaaliwa na mola wao.
Wakristo wameshapoteza Ramani na hawataki kuwambiwa kuwa wanakosea . Yote ni Kwa sababu Makanisani siku hizi hawahubiri Tena Injili ya toba na wokovu na watu kuacha madhambi. Huwezi kusikia ulevi ukipigwa vita , uzinzi , rushwa, ujanja ujanja kwenye Biashara, kupunguza ujazo kwenye mizani , Riba inayoumiza wakopaji, kuishi na mume au mke bila ndoa, udanganyifu katika biashara na kukwepa Kodi .
Wezi wanasikia mahusbiri ya mafanikio TU na kujihisi wako sawa.
Katika Sheria zote za Mungu wameona Sheria ya kuoa ndo Bora....jitu hata kuswali haliswali Ila linatangaza kuoa wake wengi.Kumbe anaoa kisheria, punguza wivu mkuu
Ni kweli kabisa na pangeibuka aina Fulani ya kivazi Cha ajabu na Cha kubana .Mama samia kwa cheo kile angekuwa mfuasi wa paulo ndoa na mumewe ingeshavunjika plus kuvaa vinguo mapaja wazi
Nawaona hao mabalozi wa kike wengine ni wakubwa wa mashirikia wanavyovaaa .Ni kweli kabisa na pangeibuka aina Fulani ya kivazi Cha ajabu na Cha kubana .
Na Kwa sababu ni mtu mkubwa Wanawake wangeiga Kwa Kasi ya ajabu .
Nywele kichwani zingewekwa mawigi mpaka ya Milioni mia moja. Kila siku ingekua ni kubadili mawigi kichwani na mrasta ya kila aina na madawa kichwani. Ndoa ingekua imeshafutika fasta ili awe huru.
Bahati nzuri Mungu ndiye anayeweka watawala . Mama Samia Kwa uvaaji wake na ustarabu wake amewafanya Wanawake wengi Sasa wanavaa nguo za kujisitiri Kwa kuiga uvaaji wake .
Mungu ashukuriwe sana Kwa kutupa Rais ambaye ni kioo kizuri Kwa jamii kimaadili.
Mkuu jamaa itakuwa kakuumiza sana kwa kuongeza Mathna, ila ndo hivyo tena. Ukiolewa na jamaa zetu ujue anytime mwenzio/ wenzio watakuja, mtakuwa wengi, haukulijua hilo mkuu wangu?Katika Sheria zote za Mungu wameona Sheria ya kuoa ndo Bora....jitu hata kuswali haliswali Ila linatangaza kuoa wake wengi.
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waislamu wa nchi hii hii ya Tanzania? Hawa talaka mkononi?
Hawa kesho yake tu unasikia kaongeza mke mwingine na kukuhudumia hakuhudumii?
Itakuwa umeota.
Wala sijaolewa mathna, uzuri dini naijua, kuolewa mathna ni chaguo langu....nazungumzia hao wanawake wasio na elimu ya dini wanavyonyanyaswa.Mkuu jamaa itakuwa kakuumiza sana kwa kuongeza Mathna, ila ndo hivyo tena. Ukiolewa na jamaa zetu ujue anytime mwenzio/ wenzio watakuja, mtakuwa wengi, haukulijua hilo mkuu wangu?
Sana Kwa maana wote wapo vile umiza kichwaUko sahihi 🙏