Wanaume wengi wa dini ya kiislamu ni waaminifu kwa wake zao

Wanaume wengi wa dini ya kiislamu ni waaminifu kwa wake zao

Mkuu ww inaonyesha bado sana kwenye medani ya uelewa wa mambo.
Bado uko kizani hakuna unachokijua ww.
Hao majamaa huwa inaspend nao masaa mangapi kwa siku??
Sasa,fanya ile siku ya mwisho ya mwezi mfungo yaani eid nenda zenji kisha piga kambi hapo nje ya lodge ushuhudie maajabu ndo utakuwa umekamilisha research yako au kama haitishi muulize masai hapo getini hizo gari nyingi hapo Lodge kuna msiba ama sherehe japo pako kimyaaa ndo utajua.
Watu nyomi full kugegedana mke/wake wanaachwa wanazurure forodhani.
Kisha nenda nje ya mji kwenye migomba huko kisha ulete mrejesho hapa chap😂
Zanzibar watu wanaliwa kwenye magari lodge huruhusiwi kuingia na mtu asie mke wako. Labda umpeleke kwenye hotel na ujipange maana bei zake zimechangamka.
 
Ondoa neno "Tuolewe"... Sema uolewe.
We uko na mshikaji mmoja yeye yuko na kina nyie watu wa ziada ukijumuisha na wewe mnakuwa defender wa nne na kipa mmoja.
#Haijakaa Sawa

Tofautisha kuona wanne na kuchupuka na Kijiji kizima...
Sasa SI Bora tuolewe tu ujue mpo wangapi..hicho Kijiji kizima inakua vip
 
Wanaume wengi waislam wanaogopa na kuipinga waziwazi zinaa kuliko wakristo, wanaona bora aoe kuliko awe na michepuko kapu zima.

Nina marafiki zangu kadhaa nimepata kuwafaham kwa kiasi hivi karibuni, kwa kweli ni waaminifu kwa wake zao. Ni ngumu sana au ni mara chache kumkuta kijana wa kikirsto akiponda waziwazi zinaa haifai, ila ni kawaida kujigamba kuwa na mademu lukuki. Hata kwenye nyuzi huku yaani idadi ipo wazi kabisa.

Wanaume wa kiislam kwanza wanaheshimu sana wake zao na pia kuwatunza vizuri. Nafikiri pia dini huwa inasaidia, japo kuna asilimia kadhaa ya walioshika dini lakini washenzi. Mimi nazungumzia majority.
Tatizo kubwa la watu wajinga wajinga Kama wewe huwa mnaona kila mtu asiyekuwa Muislam, basi ni Mkristo.
Yaani ninyi akili zenu ziko Islam vs Kristo.

Hamjui nchi hii Ina watu wengi tu hawana dini na wengine Wana imani zao wenyewe.

Pili, tamaa haishii kwa WAKE 4, haina kikomo.


Unaweza kuwa na wake 10 na Bado ukawa na michepuko vile vile.
 
Back
Top Bottom