Wanaume wengi wa dini ya kiislamu ni waaminifu kwa wake zao

Wanaume wengi wa dini ya kiislamu ni waaminifu kwa wake zao

Hivi kwanza unajua kipindi hiki Guests hazina wateja kabisa tangu siku ile ya mwisho ya vunja jungu?
 
Mkuu ww inaonyesha bado sana kwenye medani ya uelewa wa mambo.
Bado uko kizani hakuna unachokijua ww.
Hao majamaa huwa inaspend nao masaa mangapi kwa siku??
Sasa,fanya ile siku ya mwisho ya mwezi mfungo yaani eid nenda zenji kisha piga kambi hapo nje ya lodge ushuhudie maajabu ndo utakuwa umekamilisha research yako au kama haitishi muulize masai hapo getini hizo gari nyingi hapo Lodge kuna msiba ama sherehe japo pako kimyaaa ndo utajua.
Watu nyomi full kugegedana mke/wake wanaachwa wanazurure forodhani.
Kisha nenda nje ya mji kwenye migomba huko kisha ulete mrejesho hapa chap[emoji23]
Mzee mbona hueleweki mara nenda Zanzibar, rudi kwa masai getin gari nin.. umeielewa point yake lakini!??

Soma tena uzi wake alafu tulia ukomenti vizur..
 
Atuulize sie wanawake wa kiislamu🤣🤣🤣 mwanaume WA kiislamu mtamu akiwa hana hela, kosa apate hela....anajikuta mwarabu anataka aoe shombeshombe🤣 na huna cha kumwambia anajificha kwenye kivuli cha dini.
🤣🤣🤣Mnaanza naye zero,akipata anatafuta mwingine kuja kula raha.......kumbe ndiyo maana huwa mnaenda kuroga......... Mmasai shuhuda wa pili huyu
 
🤣🤣🤣Mnaanza naye zero,akipata anatafuta mwingine kuja kula raha.......kumbe ndiyo maana huwa mnaenda kuroga......... Mmasai shuhuda wa pili huyu
Yaani mmasai Kama kakutana na mwanaume wa kiislamu hana hela huko basi atake care🤣🤣🤣 ataleweshwa mahaba hapo achunwe na atoe papuchi ya bure, siku akizipata anaenda kuoa mwarabu mwenzie hata Kama yeye mndengereko🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣Waislamu wa nchi hii hii ya Tanzania? Hawa talaka mkononi?
Hawa kesho yake tu unasikia kaongeza mke mwingine na kukuhudumia hakuhudumii?

Itakuwa umeota.
🤣🤣Eti waaminifu,wanahudumia vizuri wake zao,hawahawa tunaoishi nao mitaani au waisilamu wa Dubai huko🤔wanaume wengi wa kiislam,wengi anamaanisha idadi yao ni wangani?🤣🤣🤣
 
🤣🤣Eti waaminifu,wanahudumia vizuri wake zao,hawahawa tunaoishi nao mitaani au waisilamu wa Dubai huko🤔wanaume wengi wa kiislam,wengi anamaanisha idadi yao ni wangani?🤣🤣🤣
Labda asiwe na helaaa, Hana access na nyuchii, Ila akiwa na hela mwanaume ni mwanaume tu, awe muislamu awe mkristo🤣🤣🤣
Kwani kina GSM si Waislamu wale?
Tena ukute wake zao wanakula bats Kwa sababu ni Ile wanaoana ndugu, kibinamu....la sivyo tungewasikia wanalalamika hadharani.
 
Wanaume wengi waislam wanaogopa na kuipinga waziwazi zinaa kuliko wakristo, wanaona bora aoe kuliko awe na michepuko kapu zima.

Nina marafiki zangu kadhaa nimepata kuwafaham kwa kiasi hivi karibuni, kwa kweli ni waaminifu kwa wake zao. Ni ngumu sana au ni mara chache kumkuta kijana wa kikirsto akiponda waziwazi zinaa haifai, ila ni kawaida kujigamba kuwa na mademu lukuki. Hata kwenye nyuzi huku yaani idadi ipo wazi kabisa.

Wanaume wa kiislam kwanza wanaheshimu sana wake zao na pia kuwatunza vizuri. Nafikiri pia dini huwa inasaidia, japo kuna asilimia kadhaa ya walioshika dini lakini washenzi. Mimi nazungumzia majority.
Tumekaa mahali tunapigapiga story ili kusogeza muda, wengi wa waliopo hapa ni wanaume wa kiislam na wanafuatilia JF.

Nikaona watu wanaonyeshana simu halafu kila anayemaliza kusoma anachekea kwapani, simu ilivyofika kwangu, kusoma kinachowachekesha kumbe ni hii thread yako.
 
Back
Top Bottom