Wanaume wengi wa dini ya kiislamu ni waaminifu kwa wake zao

Wanaume wengi wa dini ya kiislamu ni waaminifu kwa wake zao

Labda asiwe na helaaa, Hana access na nyuchii, Ila akiwa na hela mwanaume ni mwanaume tu, awe muislamu awe mkristo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani kina GSM si Waislamu wale?
Tena ukute wake zao wanakula bats Kwa sababu ni Ile wanaoana ndugu, kibinamu....la sivyo tungewasikia wanalalamika hadharani.
Nilikuwa nasubiri kwenye GSM hapa nione wanakisanga gani,.. nashangaa hujasema chcht sa ulikuwa na haja gani yakuwataja wao!??
 
Yaani mmasai Kama kakutana na mwanaume wa kiislamu hana hela huko basi atake care🤣🤣🤣 ataleweshwa mahaba hapo achunwe na atoe papuchi ya bure, siku akizipata anaenda kuoa mwarabu mwenzie hata Kama yeye mndengereko🤣🤣🤣
Utuache.....Uzi nzima unatusimanga wewe tu 😏
Wakati tumesifiwa hatukaribii zinaa!
 
Labda asiwe na helaaa, Hana access na nyuchii, Ila akiwa na hela mwanaume ni mwanaume tu, awe muislamu awe mkristo🤣🤣🤣
Kwani kina GSM si Waislamu wale?
Tena ukute wake zao wanakula bats Kwa sababu ni Ile wanaoana ndugu, kibinamu....la sivyo tungewasikia wanalalamika hadharani.
Mwanaume akiwa hana hela lazima awe kama malaika, full utulivu na busara za hali ya juu 🤣🤣akiwa nazo ndo utaona tabia zake halisi
 
Wanaume wengi waislam wanaogopa na kuipinga waziwazi zinaa kuliko wakristo, wanaona bora aoe kuliko awe na michepuko kapu zima.

Nina marafiki zangu kadhaa nimepata kuwafaham kwa kiasi hivi karibuni, kwa kweli ni waaminifu kwa wake zao. Ni ngumu sana au ni mara chache kumkuta kijana wa kikirsto akiponda waziwazi zinaa haifai, ila ni kawaida kujigamba kuwa na mademu lukuki. Hata kwenye nyuzi huku yaani idadi ipo wazi kabisa.

Wanaume wa kiislam kwanza wanaheshimu sana wake zao na pia kuwatunza vizuri. Nafikiri pia dini huwa inasaidia, japo kuna asilimia kadhaa ya walioshika dini lakini washenzi. Mimi nazungumzia majority.

uba marafiki zako kadhaa…. vip kuhusu ao ambao si marafiki zako au ambao hauwajui nao n waaminifu??
unahitaj karesearch syo kutumia rafik zako ku conclude
 
Tumekaa mahali tunapigapuga story ili kusogeza muda, wengi ya waliopo hapa ni wanaume wa kiislam na wanafuatilia JF.

Nikaona watu wanaonyeshana simu halafu kila anayemaliza kusoma anachekewa kwapani, simu ilivyofika kwangu, kusoma kunachowachekesha kumbe ni hii thread yako.
So mnacheka futuhi aloileta mwenye thread siyo🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom