Akina Haji Manara[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waislamu wa nchi hii hii ya Tanzania? Hawa talaka mkononi?
Hawa kesho yake tu unasikia kaongeza mke mwingine na kukuhudumia hakuhudumii?
Itakuwa umeota.
Sasa kuongeza mke hovyo hovyo huku unaacha kuhudumia familia ya awali huo ndo uaminifu?Yeye Kaongelea Uaminifu/ Uadilifu, Hajaongelea Talaka wala kuongeza Mke.
Na Kasema Kuwa wanaihofia Zinaa.
Kuhusu Kuongeza mke wa Pili, Dini yake inamruhusu. Kutokuhudumia Hiyo ni Mada nyingine haina mahusiano na alichozungumza Mwanzisha Uzi.
Usimchukulie dhamana mwanaume wa kiafrika.Kwa kuwa umesema "wengi wao", sawa! Inaweza kuwa ukweli.
Lakini..............,Mh
Hii situation haina Muislam wala Mkristo wote ni kanyaga twende shukuru ukipewa akili na maarifa ya kuukwepa uzinzi.Waislamu balaa
Wewe hapo nilipo-bold unaona ana hoja?Yeye Kaongelea Uaminifu/ Uadilifu, Hajaongelea Talaka wala kuongeza Mke.
Na Kasema Kuwa wanaihofia Zinaa.
Kuhusu Kuongeza mke wa Pili, Dini yake inamruhusu. Kutokuhudumia Hiyo ni Mada nyingine haina mahusiano na alichozungumza Mwanzisha. Uzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waislamu wa nchi hii hii ya Tanzania? Hawa talaka mkononi?
Hawa kesho yake tu unasikia kaongeza mke mwingine na kukuhudumia hakuhudumii?
Itakuwa umeota.