Wanaume wengi wanaamini wanawake wenye sura na maumbo mazuri hawafai kuolewa, ila wenye sura mbaya wanawatesa kwenye ndoa

Sifa na utukufu ni kwa Kristo Yesu anayeniwezesha.
Si kazi rahisi, shetani analeta kujiinua. Ninapogundua nimepandisha mabega, ninarudi kwenye toba, namuomba mume wangu msamaha, tena kwa magoti na machozi na kuumia kutoka ndani kabisa
 
Hongera sana mjasiriamali.
 
Amina.
Unawaambia nini wenye mitazamo ya haki sawa kwa wote kwenye ndoa?
Kwangu, ule mkutano wa beijing ulikosa maana pale wawezeshaji wakuu, ni wale ambao kama hawakuwa wameachika kwenye ndoa, basi ndoa zao zilikuwa taabani
Haki sawa ni mpango wa shetani. Bila kuwa na Yesu mtu wa ulimwengu huu habadiliki.
 
Nakubali mzee mwenzangu
 
Wanaume linapo kuja suala la kuoa huwa wanaangalia mambo mengine kabisa na sio kwa sababu mwanamke ana sura nzuri au mbaya.
Wanawake unao waita wazuri wameolewa tena wengi tu, ukiona hajaolewa ujue hana sifa za kuwa mke kutokana tabia mbovu na ukosefu wake wa akili na si kwasababu ya uzuri wake au ubaya wake.

Kama ww ni mzuri na umeolewa ujaolewa kwa sababu ya uzuri wako bali uleolewa kwa sababu ww una sifa za kuwa mke na una jielewa.

Na kama kuna mwanamke unaye muona ni mbaya na ameolewa hajaolewa kwa sababu ya ubaya wake bali ameolewa kwa sababu ana sifa ya kuitwa mke na anajielewa
 
Vyema sana
 
Linapokuja Suala La Kuoa Wanaume Huwa Hatukosei.!! Wanaokosea ni wale Waliojulia Mapenzi Ukubwani.

Hatudanganyiki.!!.[emoji419][emoji375]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…