Wanaume wengi wanaamini wanawake wenye sura na maumbo mazuri hawafai kuolewa, ila wenye sura mbaya wanawatesa kwenye ndoa

Siyo tu hao hakuna aja ya kuoa kwa sasa kwakuwa hakuna mwanamke wa kuoa na maadili yamepotea mbali sana hakuna kabisa ndoa ni mateso tuu
 
Kabisa
 
Wanaume wengi wanaamini mwanamke msomi, mwenye kipato, sura nzuri, umbo zuri na exposure hafai kuolewa.
When demand is higher what happened to supply. Yaani nikioe kila hatua unasimamishwa mie huyuhuyu,labda nikutongoze nikupige tu hakuna namna. Ikitokea ndani kidogo tatizo natishiwa ujue mie natongozwa na wengi.pia unapopata wengi mno kwako wewe binafsi unashindwa kuchambua chuya na ulezi so unashangaa umechezewa muda umeenda ama waliokuwa wanakupakia kwa BMW zao wameoa wa kawaida ama wabaya wa sura kuliko wewe. Ila bana asikuambie kitu mke kwangu Ni tabia sura tutavumiliana jamani na awe mjasiriamali wa kufa mtu basi
 
oeni vitu
Wenyewe mnajiita vitu acheni kwanza mtumiwe ,Mana value yenu Ni kubwa so mnakuwa na wide selections mwishowe unakosa hata mmoja.yaani Ile nimekaa na wewe simu yako unapigiwa Mara kwa Mara jamani ama unatafutwa mno nakuacha fasta.


Wapo wanaotafuta na wanaotafuta so it's up to me niangalie wapi
 
mwanamke wa hivyo umkute ni under dog kwa mume wake,labda awe amepungukiwa na akili...
 
Sijui ulitumia kigezo gani kumjudge kuwa hao walioolewa ni wakawaida na wanaume huacha kuwaoa hao warembo wavigezo vyako. Shika na elewa logic ya mwanaume na mwanamke ni tofauti kabisa na uzuri upo machoni pamwonaji. Ukianza kuelekea uko utakapo, utakuwa unatafuta kuwakweza watu. Kila mtu anamapito yake ndani ya ndoa, pia usitumie logic ya mwanamke kwamba ni vema kulia ndani ya V8 au Lamborghini kuliko kulia ukiwa kwenye guta, huyo ni mwanamke sio mwanaume. Urembo huvutia na kuleta matamanio ila I tell you in less than 5 days in bed mvuto wa mwanamke huisha machoni pamwanaume kinachobaki ni upendo kama kweli ulimpenda lasivyo utamuona kama mwanamke yeyote yule.
 
Kuna threads zina anzishwaga na wanaume humu kuhusu wanawake mafeminist/wasomi/pisi kali wengi wao hawafai kuolewa,huwaga mnaponda na kuwaita waongo,wanaogopa type hizo za wanawake nk.

Kumbe ni kweli na uzuri umesema ww mwanamke mwenzao.
 
Mmemuelewa????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…