Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Ni kweli Kaka yangu kaoa bomu la Syria ila anavyomtesa akakumbukia wanawake zake waliokuwa qute , beautiful , kama Nini 🥰 so unasema ukweli na mpenda Yesu .
Nampenda yeye
Nampenda yeye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea point !Kuna uzinzi na upendo.
Uzinzi huongozwa na tamaa, upendo wa dhati huongozwa na hisia za ndani sana. Binafsi, kigezo changu cha kuoa au kuwa na mtu, sio uzuri au ubaya ya umbo na sura yake, ila ule msukumo nilio nao kutoka ndani kabisa ya moyo wangu.
Msukumo huo hupelekea mimi kuwa mvumilivu, mpole, mwenye kiasi, mkarimu, mnyenyekevu na mwenye kuheshimu.
Bila huo msukumo wa ndani ni uzinzi na umalaya
ThanksUmeongea point !
Ukweli mtupuMwanamke mzuri bila Mungu uishia kuwa single mama.
Ya harusi?Picha iko wapi
Tena huyo Joyce Kiria ni tabu tupu! Ukimsikiliza utadhani ni bonge la mwanamke ila ukichunguza kwa makini utaona magumashi ndo mengi! Kuna Bwege mmoja yuko nae amemuoa anapelekeshwa mara kwenye kipindi chake cha wanawake anatangaza! Yaani huyo jamaa nikimcheki anaonekana hata akikosea huyo demu wake hawezi kumkalipia na kumuonya maana haki sawa!Hongera kwa hilo, lakini ujuwe kuna akina Fatma Karuma, kuna akina Joyce Kiria etc. Kuwajua hao wakati wa process za ndoa ni shughuri..!! Ukizingatia muda huo ku-pretend kunakuwa kwingi
Mshana Jr njoo chukua mke wako huku mkuuWanaume wengi wanaamini mwanamke msomi, mwenye kipato, sura nzuri, umbo zuri na exposure hafai kuolewa.
Wanaoa wanawake wenye sura na maumbo ya kawaida sana, lakini baada ya muda fulani huanza kulalamika mke wangu ananitesa.
Mke mwenye sura na umbo baya lazima atakuendesha sana kwa waganga sababu ana insecurity problem, huko nje wamejaa wanawake wazuri wa kila aina.
Ndugu zangu wanaume badilikeni, oeni vitu vya kueleweka, ndoa sio kitu rahisi kwa namna yoyote.
Wanawake wenye sura nzito wakitongozwa hawakatai kabisa. Kwao ni bonge la surprise kwa sababu hawaamini kama kuna wanaume wengine zaidi ya waume zao wanaweza kuvutiwa nao na kuwapenda.Na hao wenye sura nzito je?
Wanaume wengi wanaamini mwanamke msomi, mwenye kipato, sura nzuri, umbo zuri na exposure hafai kuolewa.
Wanaoa wanawake wenye sura na maumbo ya kawaida sana, lakini baada ya muda fulani huanza kulalamika mke wangu ananitesa.
Mke mwenye sura na umbo baya lazima atakuendesha sana kwa waganga sababu ana insecurity problem, huko nje wamejaa wanawake wazuri wa kila aina.
Ndugu zangu wanaume badilikeni, oeni vitu vya kueleweka, ndoa sio kitu rahisi kwa namna yoyote.
Kila mtu atii na kuheshimu hisia zake usijeukajilazimisha kwa mtu kwasababu yoyote ile. Kuna wanawake tabia na roho zao ni mbaya sawa tu na sura zao. Oa mwanamke kwa kadiri unavyoona wewe ni mzuriWanaume wengi wanaamini mwanamke msomi, mwenye kipato, sura nzuri, umbo zuri na exposure hafai kuolewa.
Wanaoa wanawake wenye sura na maumbo ya kawaida sana, lakini baada ya muda fulani huanza kulalamika mke wangu ananitesa.
Mke mwenye sura na umbo baya lazima atakuendesha sana kwa waganga sababu ana insecurity problem, huko nje wamejaa wanawake wazuri wa kila aina.
Ndugu zangu wanaume badilikeni, oeni vitu vya kueleweka, ndoa sio kitu rahisi kwa namna yoyote.
we ukiitwa takataka utajisikiaje? Usiite binadamu wenzako takataka, we mwenyewe kwa hii kauli tu tayari inaonesha una matatizo.Nani anataka kuoa akina Fatma Karume.
Pambaneni na Hali zenu. Usifananishe wife materials na takataka Zingine.
Nyie na ujuaji wenu mtabaki michepuko Tu.
Upendo wa mwanaume huongozwa na muonekano na mvuto wa mwanamke , yani hii asikudanganye mtu jombaa , mwanamke mzuri mwenye mvuto ana nguvu mno tena sana , hasa akiwa anajiheshimu na mavazi ya heshima , aisee akiwa na roho mbaya iliyojificha anaweza maliza mtaa....Kuna uzinzi na upendo.
Uzinzi huongozwa na tamaa, upendo wa dhati huongozwa na hisia za ndani sana. Binafsi, kigezo changu cha kuoa au kuwa na mtu, sio uzuri au ubaya ya umbo na sura yake, ila ule msukumo nilio nao kutoka ndani kabisa ya moyo wangu.
Msukumo huo hupelekea mimi kuwa mvumilivu, mpole, mwenye kiasi, mkarimu, mnyenyekevu na mwenye kuheshimu.
Bila huo msukumo wa ndani ni uzinzi na umalaya.
KWa kiasi fulani ni kweliMwanamke mzuri bila Mungu uishia kuwa single mama.
TrakoUpendo wa mwanaume huongozwa na muonekano na mvuto wa mwanamke , yani hii asikudanganye mtu jombaa , mwanamke mzuri mwenye mvuto ana nguvu mno tena sana , hasa akiwa anajiheshimu na mavazi ya heshima , aisee akiwa na roho mbaya iliyojificha anaweza maliza mtaa....
Hata wewe hapo kipind ulipotaka kuoa au ukitaka kuoa kukiwa na mabinti wawili mmoja ana mvuto na mwingine hana , na wote wana staha lazima ukimbilie mwenye mvuto , mkuu we acha tuu hata wachungaji wa makanisa na ndoa zao tunapigana nao vikumbo kwenye pisi kali mtaani ....
Kwenye Biblia Yakobo mwenyewe hakutaka kuwa mnafiki , Alimpenda Raheli sababu ya mvuto mkali wa Rahel kuliko Lea dada ake , hata hvyo tabia ya Rahel haikuwa poa ndo ujue nguvu ya mwanamke mwenye mvuto