Wanaume wengi wanaamini wanawake wenye sura na maumbo mazuri hawafai kuolewa, ila wenye sura mbaya wanawatesa kwenye ndoa

Ni kweli Kaka yangu kaoa bomu la Syria ila anavyomtesa akakumbukia wanawake zake waliokuwa qute , beautiful , kama Nini 🥰 so unasema ukweli na mpenda Yesu .
Nampenda yeye
 
Kuna uzinzi na upendo.
Uzinzi huongozwa na tamaa, upendo wa dhati huongozwa na hisia za ndani sana. Binafsi, kigezo changu cha kuoa au kuwa na mtu, sio uzuri au ubaya ya umbo na sura yake, ila ule msukumo nilio nao kutoka ndani kabisa ya moyo wangu.

Msukumo huo hupelekea mimi kuwa mvumilivu, mpole, mwenye kiasi, mkarimu, mnyenyekevu na mwenye kuheshimu.

Bila huo msukumo wa ndani ni uzinzi na umalaya
Umeongea point !
 
Hongera kwa hilo, lakini ujuwe kuna akina Fatma Karuma, kuna akina Joyce Kiria etc. Kuwajua hao wakati wa process za ndoa ni shughuri..!! Ukizingatia muda huo ku-pretend kunakuwa kwingi
Tena huyo Joyce Kiria ni tabu tupu! Ukimsikiliza utadhani ni bonge la mwanamke ila ukichunguza kwa makini utaona magumashi ndo mengi! Kuna Bwege mmoja yuko nae amemuoa anapelekeshwa mara kwenye kipindi chake cha wanawake anatangaza! Yaani huyo jamaa nikimcheki anaonekana hata akikosea huyo demu wake hawezi kumkalipia na kumuonya maana haki sawa!
 
Wanaume wengi wanaamini mwanamke msomi, mwenye kipato, sura nzuri, umbo zuri na exposure hafai kuolewa.

Wanaoa wanawake wenye sura na maumbo ya kawaida sana, lakini baada ya muda fulani huanza kulalamika mke wangu ananitesa.

Mke mwenye sura na umbo baya lazima atakuendesha sana kwa waganga sababu ana insecurity problem, huko nje wamejaa wanawake wazuri wa kila aina.

Ndugu zangu wanaume badilikeni, oeni vitu vya kueleweka, ndoa sio kitu rahisi kwa namna yoyote.
Mshana Jr njoo chukua mke wako huku mkuu
 
Kipindi nipo mvulana nilikuwa na pis kali kinoma.ikanifanya vibaya...nikaja nakaoa sura ngumu hahahaa hatar na nusu.
 
Wanaume wengi wanaamini mwanamke msomi, mwenye kipato, sura nzuri, umbo zuri na exposure hafai kuolewa.

Wanaoa wanawake wenye sura na maumbo ya kawaida sana, lakini baada ya muda fulani huanza kulalamika mke wangu ananitesa.

Mke mwenye sura na umbo baya lazima atakuendesha sana kwa waganga sababu ana insecurity problem, huko nje wamejaa wanawake wazuri wa kila aina.

Ndugu zangu wanaume badilikeni, oeni vitu vya kueleweka, ndoa sio kitu rahisi kwa namna yoyote.

Sawa Mrembo.
 
Kila mtu atii na kuheshimu hisia zake usijeukajilazimisha kwa mtu kwasababu yoyote ile. Kuna wanawake tabia na roho zao ni mbaya sawa tu na sura zao. Oa mwanamke kwa kadiri unavyoona wewe ni mzuri
 
Nani anataka kuoa akina Fatma Karume.

Pambaneni na Hali zenu. Usifananishe wife materials na takataka Zingine.

Nyie na ujuaji wenu mtabaki michepuko Tu.
we ukiitwa takataka utajisikiaje? Usiite binadamu wenzako takataka, we mwenyewe kwa hii kauli tu tayari inaonesha una matatizo.
 
Kuna uzinzi na upendo.

Uzinzi huongozwa na tamaa, upendo wa dhati huongozwa na hisia za ndani sana. Binafsi, kigezo changu cha kuoa au kuwa na mtu, sio uzuri au ubaya ya umbo na sura yake, ila ule msukumo nilio nao kutoka ndani kabisa ya moyo wangu.

Msukumo huo hupelekea mimi kuwa mvumilivu, mpole, mwenye kiasi, mkarimu, mnyenyekevu na mwenye kuheshimu.

Bila huo msukumo wa ndani ni uzinzi na umalaya.
Upendo wa mwanaume huongozwa na muonekano na mvuto wa mwanamke , yani hii asikudanganye mtu jombaa , mwanamke mzuri mwenye mvuto ana nguvu mno tena sana , hasa akiwa anajiheshimu na mavazi ya heshima , aisee akiwa na roho mbaya iliyojificha anaweza maliza mtaa....

Hata wewe hapo kipind ulipotaka kuoa au ukitaka kuoa kukiwa na mabinti wawili mmoja ana mvuto na mwingine hana , na wote wana staha lazima ukimbilie mwenye mvuto , mkuu we acha tuu hata wachungaji wa makanisa na ndoa zao tunapigana nao vikumbo kwenye pisi kali mtaani ....

Kwenye Biblia Yakobo mwenyewe hakutaka kuwa mnafiki , Alimpenda Raheli sababu ya mvuto mkali wa Rahel kuliko Lea dada ake , hata hvyo tabia ya Rahel haikuwa poa ndo ujue nguvu ya mwanamke mwenye mvuto
 
Mwanamke mzuri bila Mungu uishia kuwa single mama.
KWa kiasi fulani ni kweli

Yan mwanamke ukishakosa hofu ya Mungu,heshima, uvumilivu na upole
Ataishia tu kuona wenzake kwenye status za whatsapp wakiolewa
 
Upendo wa mwanaume huongozwa na muonekano na mvuto wa mwanamke , yani hii asikudanganye mtu jombaa , mwanamke mzuri mwenye mvuto ana nguvu mno tena sana , hasa akiwa anajiheshimu na mavazi ya heshima , aisee akiwa na roho mbaya iliyojificha anaweza maliza mtaa....

Hata wewe hapo kipind ulipotaka kuoa au ukitaka kuoa kukiwa na mabinti wawili mmoja ana mvuto na mwingine hana , na wote wana staha lazima ukimbilie mwenye mvuto , mkuu we acha tuu hata wachungaji wa makanisa na ndoa zao tunapigana nao vikumbo kwenye pisi kali mtaani ....

Kwenye Biblia Yakobo mwenyewe hakutaka kuwa mnafiki , Alimpenda Raheli sababu ya mvuto mkali wa Rahel kuliko Lea dada ake , hata hvyo tabia ya Rahel haikuwa poa ndo ujue nguvu ya mwanamke mwenye mvuto
Trako
 
Wanaume tunaangaliaga X yaani porno mara moja moja sasa huko unakuta wanawake wazuri tu yaani haukuti mwanamke mbaya hii Ina tu-affect

Yaani Na ukiangalia kikawaida haukuti mwanamke mzuri aliyetulia mtaani yaani uzuri wake unampa confidence wa kufanya vilee anapenda so ukimfatilia unakuta katembea Na loli zima na kwa kupenda pesa tu

Tunaona bora ukatafute sura ya baba tu huko vijijini Na unakuta ndio wana moyo wa kulea watoto hao sura za baba

Hawa maslay kwini watakuchanganya tu kwenye kulea mtoto
 
Unatulazimisha tujitegee mabomu wenywewe!
Wanawake wa kawaida huridhika na mapenzi na pesa mnazitafuta pamoja!

Ila hao slay queen wanataka kukojozwa, hela wanataka na hawaridhiki kamwe waña tamaa fisi kasingiziwa.
 
Back
Top Bottom