Wanaume wengi wanashindwa kuhudumia wazazi wao kwasababu ya vimada

Ubarikiwe wewe na uzao wako, barikiwa uingiapo barikiwa utokapo. Ukweli ni kua wanaume huponzwa na upenda na huruma yao kwa wake zao.
 
Ndicho nilichokifanya,siwez fungwa na madhabahu ingali kuungua ndani naungua mimi
 
Mzazi unatakiwa kuandaa uzee wako, usitegemee kijana wako awe msaada wako ukizeeka. Kwa maisha gani kijana amemaliza chuo ameoa aweze kuhudumia mzazi?

Tuandae uzee wetu sasa.
Alafu kesho ya wanetu iandaliwe na nani!!?? Kiasi kidogo cha pesa wanchokipata wazazi hukitumia kuandaa kesho wa watoto wao hivyo watoto wanawajibu wa kuwatunza wazazi wao waliojitoa kuhakikisha watoto wanapata mahitaji muhimu mpaka leo hii wamesimama.
 
Barikiwa
 
Lakini pia wazazi wanawajibu wa kuandaa maisha yao ya baadae kuliko kukaa na kuwalaumu watoto wao
kwa mzazi wa kijijini asiye na mshahara, analima kwa jembe la mkono, amekusomesha kwa kubadilisha mazao kidogo anayovuma kuwa pombe ya kienyeji, unataka ajiandae kwa maisha yake ya baadaye, raslimali ya kufanya hivyo ataitoa wapi?
 
Wanawake ndio wanafanya tusihudumie wazazi wetu, hata hao Dada zetu wanaowahudumia wazazi Kuna namba wanawafanyia waume zao Hadi zinapatikana pesa za kuwahudumia, kwaufupi hapa tatizo Ni MWANAMKE MWENYE ROHO MBAYA.
 
Lete andiko linalosema tuwahudumie wazazi refer Mme/mke watawaacha wazazi wao na kuambatana pamoja na kuwa mwili mmoja alafu hao wazazi na wenyewe wanawahudumia wazazi wao?
 
Dada zetu wanaweza kuwasaidia wazazi kwasababu wanasaidiwa na watoto wa wazazi walio zaa watoto wa kiume so hapo mzani umebalance.
 
Mm aisee nikioa 50/50 akipokea mshahara tunaupasua vzr tu mamb ya divorce tunaanza kugawana mali akt yeye alikua anafua tu nakupika hapana aisee lazma hela yake itumike ipasavyo
Wazo lako zuri sana lakini ili ufanikiwe kwenye hili ni lazima uliwekee mkazo tangu awali katika mahusiano yenu vinginevyo atakusumbua sana na omba Mungu upate mwanamke atakayekubaliana na hili mwanzo mwisho
 
Mtoto hawezi kuhudumia familia ya kwao au ya wakweze, bali hutoa tu kama zawadi, shukurani, au kama kuna upungufu wa kinamna yoyote kimavazi, chakula au malazi.

Jukumu la familia ni la mwenyefamilia. Kwanza ni aibu kwa baba kukaa kusubiri huduma kutoka kwa mwanaye. Kuna mzazi hata ukimpa hela anairudisha, anakuambia "hii ni ya wajukuu wangu siwezi kuipokea". Ila zawadi kama mavazi, vifaa, n.k, anaweza kupokea.

Hebu fikiria, ahudumie kwake, kwao, na kwa wakweze. Huu ni mzigo mkubwa kwa wanaume wenye kipato cha kubangaiza.
 
Kweli wanawake mnaroga sana sio balaaa kabisa. Acheni hizo bana ebu uzeni mbususu zenu mpate hela zenu wenyewe kwa jasho lenu
 
Zigo kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…